Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

.
tapatalk_1577093906393.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muono Wangu Mim mwehu ndama Mdau mwenzenu nasema Kuzaliwa mwanaume ni bahati kwake mwanaume lakini pia kuzaliwa mwanamke ni fahari Sana Kwa jamii.

Naam kuwa mwanaume kunatupa fursa adhimu yenye kuvutia Inayojenga dhana nzima ya utu wetu uliopewa utukufu mwingi na muumba wetu aliyetukuka.

Fursa hii si nyingine Bali ni Ile ya Sisi kujipima makali yetu na kujifua Kimbinu mbele ya wanawake naam mbele ya mapambo yetu haya tuliyoumbiwa na mnyezi Mungu ili kuweza kuyamiliki kifikra na hata kuyatafuna kimwili pale inapobidi

Hakika kumtongoza mwanamke ndio starehe kubwa yenye msisimko mwingi na hakishi tele kuwah kutukia katika maisha yetu wanaume.

Kutongoza kuna Raha kubwa isiyokifani kunatujengea watongozaji Hali ya kujiamini mara baada ya ombi lako kukubaliwa na kutupa nguvu yakuendelea kutongoza kila mara lakini pia harakati hizi za kutongoza zinajenga msisimko mkubwa Sana wa kupenda maisha sababu walau kunakupa sababu ya kupenda kuiona kesho ili kupata jibu, unaweza ukatumia utongizaji kama Tiba ya msongo wa mawazo sababu kutongoza kutakupa changamoto mpyaa.

Mwanaume kukaa bila kutongoza ni dhambi kubwa Sana na kunazeesha haraka sana, hivyo tujenge mazoea yakutongoza mara Kwa mara ili Ku update mbinu zetu, tena kuoa au kuwa kwenye mahusiano kusitukatishe tamaa." ni lazima tutongoze Sana tena hovyo hovyo Kwa ajili ya akiba ya baadae Naam lazima tujifunze kuweka viporo vya wanawake Kwa ajiri ya dharura za usaliti na hii itasaidia hata kupunguza Mori zetu na hasira Kali mara tunaposalitwa.

Basi Kwa hayo machache niwatakie utongozaji wenye umakini na ustadi mkubwa

NB:
usiangalie mazingira ,tongoza popote pale na mda wowote mwanamke hapewi nafasi ya kufikiria nikurusha makombora Tu, mpaka jibu liwe positive nibora umtongoze milele kuliko kukubali jibu la hapana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesahau kumalizia point muhimu baada ya neno kutongona nayo ni......"Kukubaliwa"
 
Baadhi ya watu niliowahi kukutana nao wanadai kwamba uwa wanafurahia zaidi kitendo cha kutongoza wanawake na wakakubaliwa kuliko hata kitendo cha kufanya nao mapenzi.
 
Back
Top Bottom