Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Ni swali fupi tu hivi Unaikumbukaje ile siku yako ya kwanza kutongoza/tongozwa ulipewa/toa jibu gani?


Mi nilijibiwa nimekubali lakini namuogopa Mama.


Cc Zero IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…