Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, utahonga bila kutongoza?Tatizo lako unaongea maneno tu,huku unajua kabisa maneno matupu hayalambwi.
Anza kujari kwa vitendo kisha maneno yako yafuate.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una umri gani?Jamani wahenga naombeni tusaidiane ktk hili jambo linalonichanganya..ni kuhusu namna wadada wanavonijibu vile navowatongoza hadi naelekea kukata tamaa kabisa..
N hivi hadi sasa ndani ya kama mwaka mmoja hivi nimetongoza wadada wanne kwa nyakati tofauti ila wote wananikataa kwa kunipa jibu moja kuwa wanao watu tyr...hadi nachoka yaan....HV n kweli wote wanao au hii n mbinu ya kukataliwa tu na hawa wasichana??
Nipeni mawazo maana sasa nakata tamaa na kutongoza kabisa maana nafuatilia sana ila jibu nalopewa n hilohilo ,kama wanaambiana vile wakati hawahusiani kabisa
Nawasilisha....
Sent using Jamii Forums mobile app
. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jibu hilo hupewa wale wasiokuwa na hela.. Mkuu tafuta PESA kwa nguvu zote alafu lete mrejesho hapa.
Mm natongoza kwa lengo LA kupata mpenz ambaye kama atanipendeza ntajenga naye familia kabisa kama Mungu akibarikiKuwa na mtu ni jambo la kwanza, na kukukubali ni jambo lingine.
Wewe unawatongoza kwa malengo gani ili nikushauri?. Usijekuta unatongoza mke/mchumba wa mtu utegemee kumuoa..
msaidie mkuuHamna shida nitampa darsa bure.
Kuna Mwanamke nilimtongoza kwa alivyonijibu ilinibidi nipumzike kutongoza mwezi 1