Dinnah
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 791
- 1,058
Tatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].azotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)
Kweli kabisa mleta maada inabidi ajiangalie huenda anatumia mbinu ambazo wanawake hawazipendi
Mf usiombe ukutane na mwanaume mhaya jamani kha!wanasifa wale watu balaa unamtongoza mwanamke unajimaliza kabisa,unajielezea maisha yako,mipango yako wakati hata bado hajakukubali
Badirikeni,muwe na mbinu flani za kuamsha hisia.