Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Kuna mwana kapita na kitenge kina mapicha picha ya mushrooms[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaa haaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiiii wewe utaacha watu wasivyae shati za vitenge na wake zao acha hizo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mtazamo wangu ..naona kinacho matter zaidi kwa mwanamke n vile anavokuona Mara ya kwanza ( first impression) km akiichukulia positive possibility ya kumpata n kubwa. Akichukulia negative hapo kumpata n mtiani ...siamini sana katika ushawishi wa Maneno kwamba ndo unamfanya mwanamke akuelewe ...ukitaka kujua hili linaukweli angalia watu wenye good look,wenye status mfano labda anakaz nzuri n.k ndo wanawapata mademu kiurahisi bila hata ya kusema chochote so kinacho matter zaidi n jinsi mwanamke atakavokuchukulia kwa Mara ya kwanza ndo ita determine km atakukubalia au utachezea cha mbavu.....
Very powerful point...
 
Haaaa haaaaa
Samahan kwa kuingilia mada bosslady...
Ila ningependa kuuliza kuwa hizo zawadi za 'hapa na pale' na outings na credits za kukupigia simu,vyote hivyo alikuwa anavifanya kwa "msaada wa watu wa marekani?"
Ni pesa tu ndio imetumika hapo.
 
Kujibiwa vibaya inategemea umetongozaje. Ukija kistaarabu lazima upewe jibu LA Nina bf kwa upole kabisa ila unatongoza MTU Kama unamuomba uhai Bob lazima uletewe dharau uache kusumbua. Mngejua inavyokera kutongozwa Na mtu usie Na mpango nae halafu kila ukimkataa anajifanya haelewi mngetuelewaga tu wakati mwingine ukiona unadharaulika
 
Haaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....mkuu una 50 age na liboro lako kushnei mbona unaniquote while hii comment haikuhusu[emoji23] [emoji23] [emoji15]
Sio kweli inategemea na mwanaume anajitunza vipi, na vyakula anavyokula. Huwezi amini babu yangu ana 75 years lakini bado anakula vibinti vibichi, while bibi yeye alishachoka
 
Anategemea woooote atakao watongoza wamkubalie inawezekana kweli? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa wewe unalazimisha ukubaliwe? Jitafakari sana una matatizo gani yanayokufanya ukataliwe.
Siyo kila mwanamke anatabia kama zako. UKOME KABISAAAAAAAAAA
 
Kweli kabisa mleta maada inabidi ajiangalie huenda anatumia mbinu ambazo wanawake hawazipendi

Mf usiombe ukutane na mwanaume mhaya jamani kha!wanasifa wale watu balaa unamtongoza mwanamke unajimaliza kabisa,unajielezea maisha yako,mipango yako wakati hata bado hajakukubali

Badirikeni,muwe na mbinu flani za kuamsha hisia.
Haaaa haaaa akimaliza unatabasamu lile la kinafiki kisha unamwambia bye- bye
 
Kuna watu mnatongoza kishamba sana hadi unatamani kumjibu bro hebu katulie nitakuja kukutongoza mie
Kuna bidada mmoja akiona hela tu wala hangoji kutongozwa anajiangua mwenyewe
Ana aleji na hela
 
kutongoza mpe hela kwa wadada wa dar na pwani yote na wazuri ndo wanakuwaga hivotu,basi mengine mbwembwe ... mie nawapata fresh kabisaaa na maneno matamu faster unakula mzg
Pesa ndiyo kila kitu au sio?! Ila unashabaha aisee unajua ukiwa na mpunga ma" she" wanakuona kama mgodi yaani.
 
Ooh!...me sikupapenda yaaani[emoji22]

Watu wa kule wana vurugu na matusi
Hahaha mgeni kule utapata tabu sana kuwazoea.
Ila kwa sisi tuliokulia kule tushazoea hata matusi hatuyasikii tunaona ni maneno ya kawaida.
Sema nini inategemea sehemu na sehemu kuna sehemu za kistarabu ambazo watu wake wastaarabu.
Sikukuu nikupeleke ukaoneee
 
Back
Top Bottom