Raha ya mwanamke kuendesha/kupanda farasi

Mashangazi mnanyege nyie
 
Je wale wavivu, wakuendesha farasi, unawashauri nini?.


Aahahahaa wavivu imekula kwao, mwanamke kujituma atii. Ukikuta farasi ametulia lakini vile unamuendesha anaenda mwendo wa kunyatanyata aachaaaa....

Unamaliza ugali wote na mchuzi unakomboleza πŸ˜‹.

Sema wanakosa mambo matamu, waache uvivu wajitume.
 
Mmesikia?

Uwe na tunyama. Siyo minyama. Upande farasi wa watu umvunje. Kuwa na tunyama, usiwe tepwe tepwe.

Tipwa tipwa akipanda farasi, hata kunesa nesa shida. Ukiona hivyo, mmwageni.

Kasie on one and two.

Aahahahahaa one two one two

Mic test....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
 
Nyie watoto mnafanya nini kwenye hii thread? Ni nini sasa usichoelewa mpaka unaweka vitu ambavyo walokole kama Money Penny hawataki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…