Kuna dada mmoja namfahamu, mzuri na ana kipato chake. Amekuwa nyumba ndogo ya rafiki yangu kwa miaka kadhaa sasa! Halafu kila akipata mtu wa kumuoa, mwanaume anamkataza! Anamwahidi kwamba ipo siku atamwacha mkewe ili amwoe yeye! Yule dada huwa namhurumia sana!
Nyumba ndogooz ''are the necessary evils''
Nyumba ndogooz ''are the necessary evils''
Kwa hiyo zipo na zitakuwepo tupende tusipende?π
hivi nyie wanaume mnaonaga raha gani jamani kuwa na hizo nyumba ndogo? na wadada nao wanakubali tu ku2mia na wazee wenye familia zao, yaani tabu ipo kote kote tu, enzi zile nikitongozwa nikiona kidoleni kuna ring nilikuwa nawabalasia mbali mie...wanini sasa watu na familia zao?
Wadada wanasema eti wanaume wenyewe wachache (especially wenye kipato), kwa hiyo inabidi ku-share hivyo hivyo tu, hakuna jinsi! Maana wakiingia kwenye usagaji jamii inawashangaa! π
Ina maana na wewe ukimboa atimue nje fasta?Nyumba ndogo ni noma kwa sababu unajenga kibanda, kuchomoa kazi.Ila kupiga nje si mbaya sana, kwani akikuboa unatimua fasta bila lawama yoyote kwa mwanadamu na Mungu anakusamehe.
Wadada wanasema eti wanaume wenyewe wachache (especially wenye kipato), kwa hiyo inabidi ku-share hivyo hivyo tu, hakuna jinsi! Maana wakiingia kwenye usagaji jamii inawashangaa! π
hilo lisiwatishe tutaimport frm chine wanaume wamekuwa wengi.....
Kuna dada mmoja namfahamu, mzuri na ana kipato chake. Amekuwa nyumba ndogo ya rafiki yangu kwa miaka kadhaa sasa! Halafu kila akipata mtu wa kumuoa, mwanaume anamkataza! Anamwahidi kwamba ipo siku atamwacha mkewe ili amwoe yeye! Yule dada huwa namhurumia sana!
hahaaaaa sasa kumbe acha niwatoe wasiwasi wenzangu na mie ili wasirukie ndoa za wenyewe mweeeee!!!!bht mie ctaki, nimecheka mpaka bac...
]huyo dada anatogwa kichwani kama si machicha,[/COLOR] akumbuke jamaa haachi mke wake wa ndoa, na ikitokea akaacha hata yeye ajue kuna siku ataachwa kwa ajili ya jamaa kupata mwingine.
mwanamke useless kweli huyo....
wat goes around comes around!!! mwosha huoshwa.
uwiiii.....
huyo dada anatogwa kichwani kama si machicha, akumbuke jamaa haachi mke wake wa ndoa, na ikitokea akaacha hata yeye ajue kuna siku ataachwa kwa ajili ya jamaa kupata mwingine.
mwanamke useless kweli huyo....
wat goes around comes around!!! mwosha huoshwa.
muoeKusema ukweli ni mzuri hata mimi mwenyewe huwa namtamani... π
Hapa kinaendelea nini. Nihabarisheni chapchap nianze kumwaga busara zangu!