Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Kuna dada mmoja namfahamu, mzuri na ana kipato chake. Amekuwa nyumba ndogo ya rafiki yangu kwa miaka kadhaa sasa! Halafu kila akipata mtu wa kumuoa, mwanaume anamkataza! Anamwahidi kwamba ipo siku atamwacha mkewe ili amwoe yeye! Yule dada huwa namhurumia sana!
mbona acmbane achukue action aone kama jamaa atamwacha mkewe? haachwi mtu hapo atapewa bla bla miaka inaenda.