Raha ya sisi tulio kwenye ndoa

iboyamwaka2020

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2020
Posts
725
Reaction score
844
Wana JF jamani tuseme ukweli sisi tulio kwenye ndoa ni kama tuko paradiso ndogo; hakuna kuhangaikia tena kutafuta au kupigwa kalenda, yaani nikiingia tu ndani naambiwa "karibu baby, unakula kwanza au utakula baadae ukimaliza kula" yaani mpaka raha.
 
Ukiona mwanaume anakaa kusifia ndoa au mke wake hadharani excessively ujue huyu jamaa ana vibamia au ana sexual weaknesses humo ndani ana cover kuhubiri how wonderful their wives are!

Watu wa namna hii,ni kama ndoa wamebahatisha sana,au ni weaker beta males,au ni mpya kwenye ndoa na yupo overwhelmed na new experience.

Mke wangu this,mke wangu that,mume wangu this,mume wangu that,ndoa yangu vile,ndoa yangu hivi,etc ni very awkward commentaries of which makes people wonder
 
ni wivu tu
 
Itakuwa ndoa yako changa wewe,au husomi mada humu kuwa kuna wake za watu ikifika usiku wanalala sitting room na mwingine juzi tu katoka kusema kuwa kafikia hatua ya kujichua kutokana na mkewe kumbania...?
 
ukikosea kuoa ni kama umepoteza dira ya maisha yako yote ndoa raha mkuu usisikie kwa mtu kama umeoa halafu hujawahi kuambiwa hivyo umeumia
 
Itakuwa ndoa yako change wewe,au husomi mada humu kuwa kuna wake za watu ikifika usiku wanalala sitting room na mwingine juzi tu katoka kusema kuwa kafikia hatua ya kujichua kutokana na mkewe kumbania...?
nimeiona hiyo ya kujichua mkuu hiyo siyo ndoa mke amekuja kwangu kunipa siyo mpaka nimuombe kwani hata kwao mahitaji angepata kasoro tendo la ndoa tu ndo maana mimi nikiingia tu lazima aniulize kama najisikia kula tunda muda huohuo au napumzika kwanza
 
Uko possessed wewe, kama hutafunguliwa, hutakaa uwe kwenye ndoa iliyotulia.

Vv
 
ni wivu tu
Wivu gani my dear?

Yaani watu bwana,unapotoa the real observation wanaishia kusema wivu,ndio jibu rahisi na fasta kukwepa mjadala!

Wivu kwa maana watu hawana ndoa?Au hawana spouses?

The problem is,everybody has.....

Ni kama mtu upo uje hapa ufungue uzi kujisifia una PUA wakati wanadamu wana pua the same way,kuanza kujisifia pua yako shows how obnoxious you are of which does not make any sense!

Wanaume wote wanajisifia wake zao,na mapenzi ya vyumbani mwao ni vibamia au weaker males kujaribu kujionesha na wao wamo,we real men who take care of business hatuna haja ya kueleza watu how we handling our women to anybody....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…