iboyamwaka2020
JF-Expert Member
- Jan 14, 2020
- 725
- 844
Wana JF jamani tuseme ukweli sisi tulio kwenye ndoa ni kama tuko paradiso ndogo; hakuna kuhangaikia tena kutafuta au kupigwa kalenda, yaani nikiingia tu ndani naambiwa "karibu baby, unakula kwanza au utakula baadae ukimaliza kula" yaani mpaka raha.