Raha ya uzee ni ndoto za matukio mabaya na mazuri ya ujanani

Raha ya uzee ni ndoto za matukio mabaya na mazuri ya ujanani

Dream big

Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
74
Reaction score
19
Fikiria hii picha...

Miaka 40 kutoka sasa, umezungukwa na wajukuu, kichwa kimejaa mvi. Wanakuangalia kwa macho ya kizazi kipya wakiwa na smartphones zao, wakidhani hujawahi kuwa kijana — hujawahi kusumbua mitandao wala kuishi maisha ya balaa.

Sasa tafakari kama babu yako angekuwa TikTok, akijirekodi enzi zake akiwa kijana. Au angekuwa miongoni mwa wachangiaji wa JamiiForums, akitupia hoja zenye mantiki nzito na mijadala bobevu. Fikiria pia ukikutana na channel yake ya YouTube yenye maudhui yenye thamani ya kudumu — content legacy.

Leo nilikuwa nascroll post zangu za zamani kule JamiiForums — enzi hizo nikiwa kijana wa chuo, mwaka 2014. Nilipoangalia uandishi wangu, uwezo wa kupangilia hoja, na fikra zangu za wakati huo — nikatabasamu kwa furaha. Nikatambua, maisha ni kama movie, na uzeeni utayapenda sana majukumu, miradi, picha na maandiko ya ujana wako.

Kwa hiyo, jitahidi kuweka rekodi nzuri ya maisha yako. Siku moja ukiwa mzee, utaingia mtandaoni kushuhudia ujana wako ulivyokuwa wa kipekee. Na hata utakapokufa, wajukuu zako wataendelea kupitia kumbukumbu zako mtandaoni — wakijifunza, wakifurahia... kana kwamba bado unaishi.
Wale msio na mpango wa kuona ,kipindi mjibane tu tutengeneze maisha, icho kipindi ukifika ukiwa masikini unaambiwa umebaka mwanafunzi ila ukiwa tajiri unaambiwa hamna Sheria ya inayokataza kutembea na mwanafunzi labda kama umempa mimba au umemuweka kinyumba ,hapo ni jamuhuri vs mwanasheria wako kibatala wewe uko busy kuondoa kiburi cha vitoto vya 2050
It's big vision,I'm back... maza Fanta! 😜
 

Attachments

  • Screenshot_2025-07-12-09-11-45-05_50ef9f5a0f3fc24b6f0ffc8843167fe4.jpg
    Screenshot_2025-07-12-09-11-45-05_50ef9f5a0f3fc24b6f0ffc8843167fe4.jpg
    594.9 KB · Views: 41
Uzee wenyewe upo sasaa Tena bac ,,vijana wanakufa na miaka 30 -50 🤔🤔
 
Ndo mkae sasa muongee na jamaa enu vishu mtata.. kutwa kujirekodi akiwa night club...

Kutwa kujaza status video zake akiwa anakunywa konyagi
 
uzee unaokuja kufaidi vitoto vidogo ukiwa na pesa ya kustaafu
 
Mda huo.nawahadithia wajukuu zangu jinsi nilivyokua nakula.mashangazi....

Huku na huku wajukuu wakija kwangu wanachukua mbinu huku wakifurahi kuwa na babu kama mimi..

Sema daah jau sana uzeee...
 
uzee unaokuja kufaidi vitoto vidogo ukiwa na pesa ya kustaafu
Tujibane tu tutengeneze maisha, icho kipindi ukifika ukiwa masikini unaambiwa umebaka mwanafunzi ila ukiwa tajiri unaambiwa hamna Sheria ya inayokataza kutembea na mwanafunzi labda kama umempa mimba au umemuweka kinyumba ,hapo ni jamuhuri vs mwanasheria wako kibatala wewe uko busy kuondoa kiburi cha vitoto
 
  • Kicheko
Reactions: Fbn
Back
Top Bottom