Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Fafanua Kwa faida ya members...Kitabu mteke, mchambuko mnyumbuliko, mneso, mnukio, mnasio na mvutio,
na aweke picha kama ushahidiFafanua Kwa faida ya members...
Hahaaaa!!Kumbe ndiyo maana Mahondaw anapenda sana kula ndizi...
Kumbe mnajua haya mambo na hamsemi πOngezea bamia na ngongwe
Huko huwatoi na mbogamboga hawazitaki. wao ni nyama tu na chips.Ila wadada punguzeni chips, asee
Bwana akujalie uponyaji wa haraka kiongoziWe @Braza Kede sijaenda kanisani naumwa mafua makali