Kingmbusel
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 624
- 958
Mtu ana kajeshi kake atakusikiliza
We kama mimi tu.Nilianza kusoma nilipofika 3. Ahairishe uchaguzi,.... nikaishia hapo
UZI UFUTWE HUUNdugu wajumbe. Nimekaa nikifikiria namna mambo yanavyoenda, nikafikia hitimisho kwamba Mtu pekee kwa sasa anayeweza kuikoa hii nchi na kumuokoa Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni Mtoto wake aitwaye Abdul. Hivyo nimemwandikia Rai Mh Abdul, aliye karibu naye tafadhali naomba amfikishie rai hii. Na pia thread hii itumike kutoa rai lwa Mh. Abdul kwa lugha yenye staha.
Rai kwa Mh. Abdul mtoto wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan
Mheshimiwa Abdul,
Kwa heshima kubwa nakuletea ujumbe huu wa dhati kwa ajili ya mustakabali wa taifa letu, Tanzania. Taifa letu limejengwa juu ya misingi ya mshikamano, amani na demokrasia. Hizi ndizo nguzo ambazo zimeifanya Tanzania kuwa kisiwa cha utulivu katika bara la Afrika. Viongozi wetu wote waliotangulia, pamoja na upungufu wao wa hapa na pale lakini walidumisha hii nguzo muhimu na kuwafanya wa Tanzania waishi kwa uhuru na amani bila uwoga wowote.
Hata hivyo, leo hii Watanzania wengi wanaishi kwa hofu na majonzi wakihisi sauti zao hazisikilizwi. Wanatamani kuona haki, uwazi, na usawa vikiheshimiwa. Kukosa kujibu kilio hiki kunaleta wasiwasi kwamba taifa linaweza kuingia katika machafuko ambayo hayatafaidi mtu yeyote, bali kupoteza. Nchi itapoteza, mtu mmoja mmoja ataathirika na nyie Familia ya Rais mtapoteza.
Kwa nafasi yako ya pekee ndani ya familia ya Rais na kama mtu anayeaminika kusikilizwa na vyombo vya ulinzi na usalama, una nafasi muhimu ya kuwa kiunganishi cha amani. Wewe unaweza kuwa sauti ya hekima na daraja la maridhiano kati ya wananchi na mama yako, Mheshimiwa Rais.
Ninakuomba, uongee na mama yako Mheshimiwa Rais na umwambie yafuatayo:
1. Wananchi wanataka mabadiliko. wanataka katiba mpya sasa, na sheria mpya za uchaguzi zitakazi hakikisha vyama vyote nafasi sawa ya kushiriki sia na uchaguzi.
2. Aweka mbele amani ya taifa letu, kwa sababu amani haiji kwa upanga bali kwa haki.
3. Ahairishe uchaguzi, arudi mezani kwa ajili ya mazungumzo ya dhati na wadau wote. Ajiongeze muda wa kushugulikia hilo ombi letu namba 1 hapi juu. Aitishe uchaguzi, ang'atuke kwa amani. Akaishi zake pale kizimkazi na kodi zetu zitamlea na kumtunza hadi Mungu atakapo mchukua.
Mh. Abdul najua wengi wameongea na wewe. Umewasikia wa Tanzabia. Najua nyuma ya kinachoendelea sasa kuna kundi la watu fulani wanaomtumia mama yenu kwa faida yao. Inawezekana hili kundi limewachangia au kuwapa fedha nyingi kwa ajili ya kampeni, kwa lengo la kujinufaisha pindi mama atakapoingia madarakani kwa kipindi kijacho.
Hebu nyinyi kama familia kataeni mama yenu kutumika. Mlindeni mama yenu ale uzee wake kwa amani. Msimfanye mama yenu aishi maisha ya uzeeni yenye majuto. Huyu ni mama yenu, una nafasi ya kumsaidia.
Mh Abdul, ikitokea bahati mbaya (Siombei iwe hivyo) watu wakafa kwenye maandamano, ni mama yenu ambaye atashktakiwa na kukaa lockup huko ICC. Ni nyie ndo mtakao kuwa mnaenda kumsalimia. Hawa wote wanaojidai kuwa nyuma yenu hamtawaona, wataendelea na maisha yao wakati mama yenu ana ishi maisha ya upweke, msongo wa mawazo na majuto. Mh. Abdul tafadhali msaidieni mama yenu.
Wahenga walisema “Bora nusu shari kuliko shari kamili.” Leo kuna nafasi ya kuchagua suluhu badala ya ghasia. Furaha badala ya majuto. Tafadhali muhurumieni mama yenu. Alipofika inatosha (Nusu shari) msisubiri shari kamili.
Mh. Abdul “Palipo na wazee, hapaharibiki neno.” Hekima yako inaweza kuwa mwongozo kwa taifa. Tafuta wazee wakushauri na wewe umshauri mama yako namna nzuri ya kuondokana na shari iliyoko mbele yake.
Mh. Abdul “Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.” Msiposikia kilio cha wananchi mta kukutana na madhara makubwa.
Mh. Abdul “Hekima ni mali kuliko dhahabu.” Familia yenu imebarikiwa kwa mali, lakini hekima ya kuacha urithi wa amani ndiyo thamani ya kweli.
Mh. Abdul Qur’an inasema
“Na usiwadhulumu watu katika vitu vyao, wala usifanye uharibifu katika nchi baada ya kuwa imekwisha tengemaa. Hayo ndiyo bora kwenu ikiwa nyinyi ni Waumini.” (Qur’an 7:85)
Mh. Abdul, utawala wa mabavu haudumu. Historia imetufundisha kwamba tawala zinazotegemea nguvu na kuzuia sauti za wananchi huishia pabaya.
Historia hii inatufundisha kuwa nguvu za wananchi na haki haziwezi kuzimwa milele. Yeyote anayedhani anaweza kutawala kwa mabavu huishia kujutia na kukumbukwa kwa mabaya, ilhali wanaochagua maridhiano na haki huheshimiwa na vizazi hadi vizazi.
Mh Abdul, sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Hata kama kilio hiki hakitasikilizwa leo, historia ina tabia ya kuhifadhi kumbukumbu zake. Vizazi vijavyo katika ukoo wenu vinaweza kubeba mzigo wa matendo ya leo iwapo taifa litaachwa na majeraha ya dhuluma au machafuko.
Mh Abdul, Familia yenu tayari imebarikiwa kwa heshima na mafanikio makubwa. Lakini heshima kubwa zaidi itapatikana pale ambapo historia itasema: walichagua amani na mshikamano badala ya mgogoro.
Tanzania ni kubwa kuliko mtu mmoja au familia moja. Ni urithi wa vizazi vyote watoto wetu na wajukuu wetu. Ninakuomba utumie nafasi yako ya kipekee kuisaidia nchi hii ibaki salama, yenye mshikamano, na yenye heshima mbele ya dunia.
Nawasilisha kwa heshima, kwa amani, na kwa matumaini mema.
Mungu Ibariki Tanzania.
Ni Acting DG-EYES-S.Tangu lini Abdul kawa muheshimiwa?
Ni upunguani kuamini uchaguzi utasimamishwaWe kama mimi tu.
Mi nikishaona lijitu lishambalishamba mpk Kiswahili kinamgonga huwa siendelei kusoma
Msikilize Captain Tesha kwanzaNa hawa Jw ndio mnategemea waungane na wananchi kuandamana
Umeongea clip ya captain Tesha iliyoanza kusambaa masaa machache yaliyopita?Na hawa Jw ndio mnategemea waungane na wananchi kuandamana
Hii nafasi aliipata lini? au unamzushia?Kwa nafasi yako ya pekee ndani ya familia ya Rais na kama mtu anayeaminika kusikilizwa na vyombo vya ulinzi na usalama, una nafasi muhimu ya kuwa kiunganishi cha amani. Wewe unaweza kuwa sauti ya hekima na daraja la maridhiano kati ya wananchi na mama yako, Mheshimiwa Rais.
Huwezi juwa, inawezekana jamaa yupo kwenye jitihada za kupata makombo toka meza kuu!UZI UFUTWE HUU
Pumba tupu.Ndugu wajumbe. Nimekaa nikifikiria namna mambo yanavyoenda, nikafikia hitimisho kwamba Mtu pekee kwa sasa anayeweza kuikoa hii nchi na kumuokoa Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni Mtoto wake aitwaye Abdul. Hivyo nimemwandikia Rai Mh Abdul, aliye karibu naye tafadhali naomba amfikishie rai hii. Na pia thread hii itumike kutoa rai lwa Mh. Abdul kwa lugha yenye staha.
Rai kwa Mh. Abdul mtoto wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan
Mheshimiwa Abdul,
Kwa heshima kubwa nakuletea ujumbe huu wa dhati kwa ajili ya mustakabali wa taifa letu, Tanzania. Taifa letu limejengwa juu ya misingi ya mshikamano, amani na demokrasia. Hizi ndizo nguzo ambazo zimeifanya Tanzania kuwa kisiwa cha utulivu katika bara la Afrika. Viongozi wetu wote waliotangulia, pamoja na upungufu wao wa hapa na pale lakini walidumisha hii nguzo muhimu na kuwafanya wa Tanzania waishi kwa uhuru na amani bila uwoga wowote.
Hata hivyo, leo hii Watanzania wengi wanaishi kwa hofu na majonzi wakihisi sauti zao hazisikilizwi. Wanatamani kuona haki, uwazi, na usawa vikiheshimiwa. Kukosa kujibu kilio hiki kunaleta wasiwasi kwamba taifa linaweza kuingia katika machafuko ambayo hayatafaidi mtu yeyote, bali kupoteza. Nchi itapoteza, mtu mmoja mmoja ataathirika na nyie Familia ya Rais mtapoteza.
Kwa nafasi yako ya pekee ndani ya familia ya Rais na kama mtu anayeaminika kusikilizwa na vyombo vya ulinzi na usalama, una nafasi muhimu ya kuwa kiunganishi cha amani. Wewe unaweza kuwa sauti ya hekima na daraja la maridhiano kati ya wananchi na mama yako, Mheshimiwa Rais.
Ninakuomba, uongee na mama yako Mheshimiwa Rais na umwambie yafuatayo:
1. Wananchi wanataka mabadiliko. wanataka katiba mpya sasa, na sheria mpya za uchaguzi zitakazi hakikisha vyama vyote nafasi sawa ya kushiriki sia na uchaguzi.
2. Aweka mbele amani ya taifa letu, kwa sababu amani haiji kwa upanga bali kwa haki.
3. Ahairishe uchaguzi, arudi mezani kwa ajili ya mazungumzo ya dhati na wadau wote. Ajiongeze muda wa kushugulikia hilo ombi letu namba 1 hapi juu. Aitishe uchaguzi, ang'atuke kwa amani. Akaishi zake pale kizimkazi na kodi zetu zitamlea na kumtunza hadi Mungu atakapo mchukua.
Mh. Abdul najua wengi wameongea na wewe. Umewasikia wa Tanzabia. Najua nyuma ya kinachoendelea sasa kuna kundi la watu fulani wanaomtumia mama yenu kwa faida yao. Inawezekana hili kundi limewachangia au kuwapa fedha nyingi kwa ajili ya kampeni, kwa lengo la kujinufaisha pindi mama atakapoingia madarakani kwa kipindi kijacho.
Hebu nyinyi kama familia kataeni mama yenu kutumika. Mlindeni mama yenu ale uzee wake kwa amani. Msimfanye mama yenu aishi maisha ya uzeeni yenye majuto. Huyu ni mama yenu, una nafasi ya kumsaidia.
Mh Abdul, ikitokea bahati mbaya (Siombei iwe hivyo) watu wakafa kwenye maandamano, ni mama yenu ambaye atashktakiwa na kukaa lockup huko ICC. Ni nyie ndo mtakao kuwa mnaenda kumsalimia. Hawa wote wanaojidai kuwa nyuma yenu hamtawaona, wataendelea na maisha yao wakati mama yenu ana ishi maisha ya upweke, msongo wa mawazo na majuto. Mh. Abdul tafadhali msaidieni mama yenu.
Wahenga walisema “Bora nusu shari kuliko shari kamili.” Leo kuna nafasi ya kuchagua suluhu badala ya ghasia. Furaha badala ya majuto. Tafadhali muhurumieni mama yenu. Alipofika inatosha (Nusu shari) msisubiri shari kamili.
Mh. Abdul “Palipo na wazee, hapaharibiki neno.” Hekima yako inaweza kuwa mwongozo kwa taifa. Tafuta wazee wakushauri na wewe umshauri mama yako namna nzuri ya kuondokana na shari iliyoko mbele yake.
Mh. Abdul “Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.” Msiposikia kilio cha wananchi mta kukutana na madhara makubwa.
Mh. Abdul “Hekima ni mali kuliko dhahabu.” Familia yenu imebarikiwa kwa mali, lakini hekima ya kuacha urithi wa amani ndiyo thamani ya kweli.
Mh. Abdul Qur’an inasema
“Na usiwadhulumu watu katika vitu vyao, wala usifanye uharibifu katika nchi baada ya kuwa imekwisha tengemaa. Hayo ndiyo bora kwenu ikiwa nyinyi ni Waumini.” (Qur’an 7:85)
Mh. Abdul, utawala wa mabavu haudumu. Historia imetufundisha kwamba tawala zinazotegemea nguvu na kuzuia sauti za wananchi huishia pabaya.
Historia hii inatufundisha kuwa nguvu za wananchi na haki haziwezi kuzimwa milele. Yeyote anayedhani anaweza kutawala kwa mabavu huishia kujutia na kukumbukwa kwa mabaya, ilhali wanaochagua maridhiano na haki huheshimiwa na vizazi hadi vizazi.
Mh Abdul, sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Hata kama kilio hiki hakitasikilizwa leo, historia ina tabia ya kuhifadhi kumbukumbu zake. Vizazi vijavyo katika ukoo wenu vinaweza kubeba mzigo wa matendo ya leo iwapo taifa litaachwa na majeraha ya dhuluma au machafuko.
Mh Abdul, Familia yenu tayari imebarikiwa kwa heshima na mafanikio makubwa. Lakini heshima kubwa zaidi itapatikana pale ambapo historia itasema: walichagua amani na mshikamano badala ya mgogoro.
Tanzania ni kubwa kuliko mtu mmoja au familia moja. Ni urithi wa vizazi vyote watoto wetu na wajukuu wetu. Ninakuomba utumie nafasi yako ya kipekee kuisaidia nchi hii ibaki salama, yenye mshikamano, na yenye heshima mbele ya dunia.
Nawasilisha kwa heshima, kwa amani, na kwa matumaini mema.
Mungu Ibariki Tanzania.
Huu ndio udanganyifu mlio kwenda kukopa huko, mkadhani utatumika na hapa! Hizo 'model' waachie wanaojuwa kuzitumia. Samia hana uwezo wa kuzitumia hizo.unapoona tatizo ni mtu utaendelea kuumia miaka yote,,,Samia alipochukua tu madaraka kila mtu alimpongeza na kumsifia baada ya mwaka mmoja tu akaanza kulaumiwa, na hali hii haijaanzia kwake, ndivyo inavyokua kwa marais wote mara tu wanapoingia madarakani.
Kwahiyo tutofautishe Museveni na uganda,au Kagame na Rwanda kwa nchi hizo ukilaumu mtu ni sahihi.
Muite Abdul tu inatosha, kumuita mheshimiwa ni kuwakosea heshima watanzania wote kwa ujumla!Ndugu wajumbe. Nimekaa nikifikiria namna mambo yanavyoenda, nikafikia hitimisho kwamba Mtu pekee kwa sasa anayeweza kuikoa hii nchi na kumuokoa Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni Mtoto wake aitwaye Abdul. Hivyo nimemwandikia Rai Mh Abdul, aliye karibu naye tafadhali naomba amfikishie rai hii. Na pia thread hii itumike kutoa rai lwa Mh. Abdul kwa lugha yenye staha.
Rai kwa Mh. Abdul mtoto wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan
Mheshimiwa Abdul,
Kwa heshima kubwa nakuletea ujumbe huu wa dhati kwa ajili ya mustakabali wa taifa letu, Tanzania. Taifa letu limejengwa juu ya misingi ya mshikamano, amani na demokrasia. Hizi ndizo nguzo ambazo zimeifanya Tanzania kuwa kisiwa cha utulivu katika bara la Afrika. Viongozi wetu wote waliotangulia, pamoja na upungufu wao wa hapa na pale lakini walidumisha hii nguzo muhimu na kuwafanya wa Tanzania waishi kwa uhuru na amani bila uwoga wowote.
Hata hivyo, leo hii Watanzania wengi wanaishi kwa hofu na majonzi wakihisi sauti zao hazisikilizwi. Wanatamani kuona haki, uwazi, na usawa vikiheshimiwa. Kukosa kujibu kilio hiki kunaleta wasiwasi kwamba taifa linaweza kuingia katika machafuko ambayo hayatafaidi mtu yeyote, bali kupoteza. Nchi itapoteza, mtu mmoja mmoja ataathirika na nyie Familia ya Rais mtapoteza.
Kwa nafasi yako ya pekee ndani ya familia ya Rais na kama mtu anayeaminika kusikilizwa na vyombo vya ulinzi na usalama, una nafasi muhimu ya kuwa kiunganishi cha amani. Wewe unaweza kuwa sauti ya hekima na daraja la maridhiano kati ya wananchi na mama yako, Mheshimiwa Rais.
Ninakuomba, uongee na mama yako Mheshimiwa Rais na umwambie yafuatayo:
1. Wananchi wanataka mabadiliko. wanataka katiba mpya sasa, na sheria mpya za uchaguzi zitakazi hakikisha vyama vyote nafasi sawa ya kushiriki sia na uchaguzi.
2. Aweka mbele amani ya taifa letu, kwa sababu amani haiji kwa upanga bali kwa haki.
3. Ahairishe uchaguzi, arudi mezani kwa ajili ya mazungumzo ya dhati na wadau wote. Ajiongeze muda wa kushugulikia hilo ombi letu namba 1 hapi juu. Aitishe uchaguzi, ang'atuke kwa amani. Akaishi zake pale kizimkazi na kodi zetu zitamlea na kumtunza hadi Mungu atakapo mchukua.
Mh. Abdul najua wengi wameongea na wewe. Umewasikia wa Tanzabia. Najua nyuma ya kinachoendelea sasa kuna kundi la watu fulani wanaomtumia mama yenu kwa faida yao. Inawezekana hili kundi limewachangia au kuwapa fedha nyingi kwa ajili ya kampeni, kwa lengo la kujinufaisha pindi mama atakapoingia madarakani kwa kipindi kijacho.
Hebu nyinyi kama familia kataeni mama yenu kutumika. Mlindeni mama yenu ale uzee wake kwa amani. Msimfanye mama yenu aishi maisha ya uzeeni yenye majuto. Huyu ni mama yenu, una nafasi ya kumsaidia.
Mh Abdul, ikitokea bahati mbaya (Siombei iwe hivyo) watu wakafa kwenye maandamano, ni mama yenu ambaye atashktakiwa na kukaa lockup huko ICC. Ni nyie ndo mtakao kuwa mnaenda kumsalimia. Hawa wote wanaojidai kuwa nyuma yenu hamtawaona, wataendelea na maisha yao wakati mama yenu ana ishi maisha ya upweke, msongo wa mawazo na majuto. Mh. Abdul tafadhali msaidieni mama yenu.
Wahenga walisema “Bora nusu shari kuliko shari kamili.” Leo kuna nafasi ya kuchagua suluhu badala ya ghasia. Furaha badala ya majuto. Tafadhali muhurumieni mama yenu. Alipofika inatosha (Nusu shari) msisubiri shari kamili.
Mh. Abdul “Palipo na wazee, hapaharibiki neno.” Hekima yako inaweza kuwa mwongozo kwa taifa. Tafuta wazee wakushauri na wewe umshauri mama yako namna nzuri ya kuondokana na shari iliyoko mbele yake.
Mh. Abdul “Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.” Msiposikia kilio cha wananchi mta kukutana na madhara makubwa.
Mh. Abdul “Hekima ni mali kuliko dhahabu.” Familia yenu imebarikiwa kwa mali, lakini hekima ya kuacha urithi wa amani ndiyo thamani ya kweli.
Mh. Abdul Qur’an inasema
“Na usiwadhulumu watu katika vitu vyao, wala usifanye uharibifu katika nchi baada ya kuwa imekwisha tengemaa. Hayo ndiyo bora kwenu ikiwa nyinyi ni Waumini.” (Qur’an 7:85)
Mh. Abdul, utawala wa mabavu haudumu. Historia imetufundisha kwamba tawala zinazotegemea nguvu na kuzuia sauti za wananchi huishia pabaya.
Historia hii inatufundisha kuwa nguvu za wananchi na haki haziwezi kuzimwa milele. Yeyote anayedhani anaweza kutawala kwa mabavu huishia kujutia na kukumbukwa kwa mabaya, ilhali wanaochagua maridhiano na haki huheshimiwa na vizazi hadi vizazi.
Mh Abdul, sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Hata kama kilio hiki hakitasikilizwa leo, historia ina tabia ya kuhifadhi kumbukumbu zake. Vizazi vijavyo katika ukoo wenu vinaweza kubeba mzigo wa matendo ya leo iwapo taifa litaachwa na majeraha ya dhuluma au machafuko.
Mh Abdul, Familia yenu tayari imebarikiwa kwa heshima na mafanikio makubwa. Lakini heshima kubwa zaidi itapatikana pale ambapo historia itasema: walichagua amani na mshikamano badala ya mgogoro.
Tanzania ni kubwa kuliko mtu mmoja au familia moja. Ni urithi wa vizazi vyote watoto wetu na wajukuu wetu. Ninakuomba utumie nafasi yako ya kipekee kuisaidia nchi hii ibaki salama, yenye mshikamano, na yenye heshima mbele ya dunia.
Nawasilisha kwa heshima, kwa amani, na kwa matumaini mema.
Mungu Ibariki Tanzania.
Ni masikitiko makubwa sanaNyie watu mnapata wapi muda wa kupoteza hivi.