Rai kwa Abdul, mtoto wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu

Nilianza kusoma nilipofika 3. Ahairishe uchaguzi,.... nikaishia hapo
We kama mimi tu.
Mi nikishaona lijitu lishambalishamba mpk Kiswahili kinamgonga huwa siendelei kusoma
 
UZI UFUTWE HUU
 
Umemshauri mambo mazuri sana kama kweli ana uchungu na mama yake ajitafakari..... mda bado upo.
 
unapoona tatizo ni mtu utaendelea kuumia miaka yote,,,Samia alipochukua tu madaraka kila mtu alimpongeza na kumsifia baada ya mwaka mmoja tu akaanza kulaumiwa, na hali hii haijaanzia kwake, ndivyo inavyokua kwa marais wote mara tu wanapoingia madarakani.
Kwahiyo tutofautishe Museveni na uganda,au Kagame na Rwanda kwa nchi hizo ukilaumu mtu ni sahihi.
 
Huyo ashakuwa criminal hawezi kurudi nyuma
 
Na hawa Jw ndio mnategemea waungane na wananchi kuandamana
Msikilize Captain Tesha kwanza

 
Hii nafasi aliipata lini? au unamzushia?
 
Pumba tupu.

Abdul hatambuliki na hana cheo chochote serikalini hana mamlaka yoyote juu ya hili taifa.
 
We nawe acha kurudisha topic za nyuma mtchiewww..! 😏
 
Huu ndio udanganyifu mlio kwenda kukopa huko, mkadhani utatumika na hapa! Hizo 'model' waachie wanaojuwa kuzitumia. Samia hana uwezo wa kuzitumia hizo.
 
Unatoa wapi mda wa kupoteza kushauli watu wapumbavu kama akina dudukweAbdul na mama yake kizimkazi?
 
Muite Abdul tu inatosha, kumuita mheshimiwa ni kuwakosea heshima watanzania wote kwa ujumla!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…