Rai kwa Abdul, mtoto wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu

Umeongea clip ya captain Tesha iliyoanza kusambaa masaa machache yaliyopita?
Na wewe unaamini yule jamaa ni mwanajeshi ?
Baadhi ya Watz ni wepesi wa kuamini kila kitu ndio maana Polepole alikuwa anajipigia tu
 
Usimuite Mh Rais huyo ni jambazi muuaji
 
Na wewe unaamini yule jamaa ni mwanajeshi ?
Baadhi ya Watz ni wepesi wa kuamini kila kitu ndio maana Polepole alikuwa anajipigia tu
Hapana sio mwanajeshi bali ni mwachadema aliamua tu kuvuruga amani ya nchi(kama mnavyoiita).

Haya umefurahi?... mbwa kasoro kubweka wewe.
 
Kuna watu chakula chochote kilichopo mbele yenu mnakula. Cha kukushauri kuhusu huyo kijana, chukua maneno yake ila elewa kwamba huyo sio mwanajeshi.
Hapana sio mwanajeshi bali ni mwachadema aliamua tu kuvuruga amani ya nchi(kama mnavyoiita).

Haya umefurahi?... mbwa kasoro kubweka wewe.
Ona ulivyo mjinga, sasa hapo Chadema inahusikaje ?
 
‎Mh. Abdul najua wengi wameongea na wewe. Umewasikia wa Tanzabia. Najua nyuma ya kinachoendelea sasa kuna kundi la watu fulani wanaomtumia mama yenu kwa faida yao. Inawezekana hili kundi limewachangia au kuwapa fedha nyingi kwa ajili ya kampeni, kwa lengo la kujinufaisha pindi mama atakapoingia madarakani kwa kipindi kijacho.
‎Hiki kitu hiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…