Rai kwa Serikali na Bunge: Wanaoambukiza UKIMWI kwa kukusudia wahanisiwe, wapigwe chapa au wadungwe sindano za kutoa mihemuko

sasa mabinti zetu vp ndugu hakuna kujifanya unaongelea habari ya staha njaa mbaya ndugu
Yani kuna watu hawawaheshimu jinsia ya KE kabisa; wanawaona kama mawe tu. Kwani wanawake sio watu? Mie huwa siwaelewe kabisa. Hawana mama? Mashangazi? Mabinamu? Mashemeji? Madada? hao sio watu?
 
kama unatetea tabia hiyo kwa mbali au wewe ni ndo mwenyewe tunayemtafuta? mpaka unasema mbona hakuna mwanafunzi aliyeshitaki una shida fulani
Wanafunzi ni watoto wadogo hawajakomaa kiakili, kudanganywa au kurubuniwa ni kosa kwa kuwa bado hawayajui maisha na hawawezi kuwa na maamuzi ya kikubwa. Sasa ni kosa na ubakaji kutembea na mtoto asiyeweza kujitambua. .
 

Afu kuna mda watu mnakuta mnazungumza kama umelewa
Hivi ukiona jirani yako anafanya mambo ya kifuska na ya kuharibu jamii utaacha kujua
Fikiri kabla hujazungumza
Mie nachukia sana, unakuta hata kitaa kuna wasichana wageni wamekuja, jamaa kashafanya yake
Mie sijamsema kwa maendeleo yake, nimemsema kwa ufuska wa kuambukiza watu UKIMWI

Mie nimejitahidi kwa uwezo wangu kwenda serikali za mitaa, na nimezungumza na mwenyekiti na wajumbe hao nishawafikishia
Na waliogombea ubunge Dodoma wanajulikana, manake nimetaja teyari; na si kwa sabau watu humu ndani watanambia nimtaje, bali kwa sababu sijapenda
Ila nitasema jina lake tu, endapo nitapata kinga ya Raisi na Spika wa Bunge tu; wengine mtaniweka hatiani alafu nikiwa na shida hamtokuja kunishika mkono. .
 
sasa mabinti zetu vp ndugu hakuna kujifanya unaongelea habari ya staha njaa mbaya ndugu

Kuna watu wanazungumza kama hawana ndugu, inawezekana hata mtaani kwao watu kama hao wapo na hawajui. Hata wake zao wanaweza kudanganywa na yeye akajikuta muhanga

SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…