Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
lakini hawa mafisadi si mlisema wana mtandao mkubwa kwa hao mnaowaita waandishi? hewa fuatlieni mtujulishe na 'mapopo'.
Lunyungu how long does it take kumpigia simu?....Kama huwezi kaa kimya...usipende UJIKO...
Nimekupata mkuu, ndio nimemaliza kuyasoma. Nakajua haka kajamaa kwa mbali kalipokuwa na gazeti la Tanzania Daima, lakini sikuwahi kufikiri kuwa kalikuwa na ushawishi wowote (wa maana) katika mambo ya kitaifa. Halafu akawa "mtetezi" wa Lowassa "kiaina" wakati wa Richmond. Sikumbuki walikosana vipi na Mbowe au walishindana tu kimaslahi, ndipo nikasikia yuko kwenye Rai. Ndipo nikadhani kwa habari ya leo, kuondoka (ama kuondolewa) kwake huko kwenye "Rai" ni sawa tu na alivyoondoka (au kuondolewa) kwa Mbowe, au kuna tofauti wakuu? Sijaona tofauti kati yake na yule mwimbaji Waziri Sonyo aliyekuwa anahamahama bendi kila kukicha. Atakaa mtaani kwa muda, utamsikia kesho yuko na gazeti lingine, namwona ni sawa tu na madereva wa daladala za Kiwalani, Manzese au sehemu kama hizo.
Masikini... Ameonewa!
Basi asubiri Lowassa atakapoanzisha gazeti lake amchukue kama mhariri wake.
It may be a little bit too late for that kwani Lowassa tayari keshaanzisha magazeti mapya matatu: NYUNDO, TAIFA na UMMA. Yote yana wahariri wake wa aina ya Deodatus Balile: boot lickers! Balile alianza kuendesha hata Vogue ya Rostam, nikaanza kuwa na wasiwasi kuhusu role ya Balile nje ya newsroom! Makubwa, ya Pemba madogo!Basi asubiri Lowassa atakapoanzisha gazeti lake amchukue kama mhariri wake.
Someni "Cheche" Jumatano mtajua nini kinaandaliwa na mnaweza kuhisi nafasi ya Balile kattika kufikia lengo hilo.
Habari zinazoingia sasa hivi zinadokeza kuwa Mhariri wa gazeti la RAI Bw. Balile ameondolewa wadhifa wake huo. More to come!