RAI - Nguvu ya Hoja?

RAI - Nguvu ya Hoja?

Safi sana Rai kwa kuitangaza JF!wao wanafikiri wanamkoma nyani!kumbe wanaitangaza JF!watanzania sasa hawataki kuendeshwa na serikali iliokosa dira wala uelekeo!najua ndugu zangu huko wanaosoma Rai lazima wakiona mtandao wa JF lazima wautafute na ndo wakiingia humu ndo watausoma ukweli na serikali iliyopo!
mbele mbele JF nyuma ni mwiko!
 
Invisible mi natumaini si kwa waandishi tu hata serikalini watu wakiheshimu taaluma zao ufisadi utapungua. hebu fikiria watu kama wakina karamagi, Msabaha, Hosea na wengineo wangeheshimu taaluma zao na maadili ya kazi zao leo hii wangekuwa wamejijengea heshma mbele ya jamii kuliko hii aibu wanayoipata.
 
Ndoa ya mafisadi na waganga njaa kama akina Ballile sio mchezo.

Kumbe mhariri wa RAI ni ballile? Sasa sio kwamba RAI litakuwa nguvu ya hoja, bali vioja vya mafisadi na vibaraka wao.

Shame on you balile! unaandika utumbo tu, tena kwa hisia zilizojaa chuki.
 
RAI ni gazeti nalo siku hizi,mbona limejifia siku nyingi.Tatizo Balile ana njaa kali
 
Jamani tunaomba kainzi ketu kazunguke zunguke pale kwenye ofisi za RAI naona kuna harufu pale kisha kakishiba katakuja kucheua hapa.......
Kisha kainzi ketu tukatume kaende kakamnuse nuse kwa Jenerali Ulimwengu hapo tutapata kajibu murua na kupembua kwa uyakinifu....
Naomba kuwakilisha mods....
 
Nadhani wanaangali kwa kuwa Mbowe na Slaa wameamua kutumia majina yao humu JF. Ukweli ni kwamba hata Makamba nae yumo kwa jina fulani. Kwa hiyo nae anaichafua serikali ya CCM?
 
Mbona Makamba ni member humu? Ina maana nae anaichafua serikali?
 
Afadhali hata uhuru linajulikana msimamo wake kuwa ni kutetea chama tawala kwa uozo na mazuri yake (kama yamo). May be kwa mfumo tulionao hilo si jambo baya na wahariri wake wengi ni makada wa hicho chama. Ni kwakuwa tu lina ruzuku na kulazimisha linunuliwe na idara zote za serikali, vinginevyo lingejifia zamani. RAI ni gazeti linalomlinda mmiliki wake, hivyo akikohoa tu, Balile anashtuka, "Naam twaibu, Niandike nini leo!!?" Shame on him! Nalenyewe linaendeshwa kwa fedha za gizani ndio mana lasavaivu.

ni kuacha kuyanunua tu!
 
katika makala chechefu niliyo wahi kuisoma ni hii ya rai aliyoweka hapa invicible, hivi balile kwa bahati mbaya mfumo huu wa mafisadi utakapomegeka wewe utakuwa mgeni nwa nani katyika taifa hili? shme on you.

ndugu zangu wana jf, kinachomsumbua mwenzetu huyu ni ile ada aliyolipiwa na lowasa akiwa hapa hull.

balile, unakumbuka ya vibaraka kama akina askofu abel muzorewa? padri ndibanini sithole? mwisho wa vibaraka na waganga njaa kama wewe ni huko hukop kwa akina muzorewa.

wana jf tumchangie mwenetu huyu balile arudishe mkopo kwa lowasa aliokopa akaenda kusoma arudi kundini
 
Safari kweli bado ndefu!!!!!!!!!!!!!!! Nguvu ya hoja iko wapi hapo?????????? Na hilo gazeti jingine wanaloogopa kulitaja ni lipi????
 
INVISIBLE
Ningependa kukushauri ya kwamba kila kitu unachokutana nacho ambacho kipo mwelekeo hasi na wakwako kichukulie kama CHANGAMOTO wala usijaribu kukitafsri vinginevyo mfano -ametumwa,ameiishiwa,ama ana nia ya kudhoofisha n.k.

MIND U !! Huyu mwandishi amesema CHADEMA wanaitumia JF ,Na hajasema JF INAFANYA--.

Mfano.Unaweza ukawa na KISU chako ambacho unakitumia kwa matumizi yako mema mfano kukatakata nyama,vitunguu ,nyanya nk LAKINI akatokea KICHAA fulani akakitumia KISU chako na kumchoma nacho jirani na hatimaye kusababisha mauti ya jirani.

Nakukumbusha tena WEWE ama KISU CHAKO hakina uhusiano na KICHAA yule na hata hivyo pamoja na kutokua na uhusiano bado haikumuzuia kichaa kukitwaa kisu chako na kusababisha mauti ya jirani.

AGAIN: Usichukulie hiyo habari kwa jazba bali ichukulie kama changamoto na wenda ikakujenga kwa namna moja ama nyingine kwa kuifanya JF ihimili zaidi na zaidi.
 
Vurugu zilianzia ktk kusengenyana maofisini, vijiweni, sokoni, majumbani

Zikahamia katika kupigana vijembe majukwaani na ktk vikao kwa mafumbo makubwa

Baadaye ktk kuchafuana ktk magazeti navyombo vingine vya habari kwa mafumbo mara chache sana kutaja jina la mtuhumiwa na fitina lukuki ktk vikao mbalimbali kichama na serkali na ktk mashirika mbalimbali ya umma.

Na sasa kukunjana mashati, ngumi njenje, kufukuzana ktk vyeo/uanachama ktk vyama, kuumbuana hadharani kwa kuwataja majina wahusika bila hofu yoyote hata kwa tuhuma za uuaji. Kuchafuana ktk vyombo vya habari waziwazi bila kuficha kitu (Kuanikana)

linalofata ni kuviziana usiku na kibastola, kukatana ulimi kwa nguvu, kutumia magenge ya watu waliochoka na maisha na wenye njaa lakini hawako ktk magazeti, redio, website nk, watu hawa wataunda vikundi vikiwa na silaha zote kama vyombo vya habari vilivyo na siraha zote kwa sasa(maana zinawatetezi mafisadi, sirikali, vyama vya siasa). Watu hawa watatumia nguvu na utetezi wa mafisadi walionao ukiwa nyuma yao kutekeleza amri waliyopewa na vigogo wao kuwamaliza wale wanaowanyima usingizi na ili nao wakizi njaa zao kwa kipato watachopata kama vyombo vya habari sasa. Waandishi ni waj=kati wao sasa kutoka kwa kuwaumiza wengine lakini baadaye hawatakuwa na nguvu tena bali hawa jamaa watashika nafasi yao na utakuwa na wakati wao kutoka kifedha.

Kitakachofata baadaye ni vikundi hivi kuwa sugu na kuongezeka kiidadi na kufanya kuwa vikundi vya kijeshi vyenye kulinda maslahi ya vigogo wao maana wataapa kwao ili wasizidiwe na kundi la wapinzani wao maana watakaposhinwa tu watafutiliwa mbali.

Ndipo patashika nguo kuchanika itakapokuwa kkt nchi yangu ya TZ niipendayo na ninaandika haya huku machozi yakinilengalenga lakini nifanyeje? ndiyo ufunuo huo! asiye na mwana na aeleke jiwe. Nimejaribu kuangalia miaka yangu pengine huo wakati hautanikuta lakini nimeona hata usiponikuta mimi mwanangu kipenzi atakuwepo

Watanzania pesa (Utajiri, Madaraka) tumeyapenda kupita kiasi chake sijui ndiyo ulimbukeni wa kutafuta! mimi sijui lakini hata wazungu walioendelea hawakutumia ujasiliamali tunaoutumia Tanazania na hata Africa yote ndiyo maana tunaishia ktk migogoro.

Kama Mkapa naye ni jasiliamali kweli ndiyo maana yake halisi? si kweli! leo hii mtu akiwa hana pesa anaaambiwa wewe si mjasiliamali aaahh kwa definition ipi ya ujasiliamali? Kama anayotumia Lowasa, Nchimbi, Mkapa, Karamagi? aaa acha waendelee kuniita si mjasiliamali ila hayo siyawezi waliyoyafanya wao.

Watanzania mali ni kitu kizuri sana lakini tusiitafute kwa njia zisizofaa itatufikisha pabaya

Asanteni WanaJF, ni Ufunuo tu
 
Mbona tuliwahi kuambiwa Makamba neva touch keyboard b4?

Yeah,hajui,yaani katika wale watu 500,000 Tanzania wanaojua kutumia kompyuta,je unafikiri Makamba na zile akili zake anaweza kuwemo miongoni?

Huyo mkuu aliyemtaja makamba ni kama anamsingizia tu au kama yupo humu basi atakua ansoma tu kwani na wewe unafikiri akiwemo humu ni lazima aguse keyboard? Usitake kumpandisha mtu chati bure kwa maslahi yako.
 
INVISIBLE
Ningependa kukushauri ya kwamba kila kitu unachokutana nacho ambacho kipo mwelekeo hasi na wakwako kichukulie kama CHANGAMOTO wala usijaribu kukitafsri vinginevyo mfano -ametumwa,ameiishiwa,ama ana nia ya kudhoofisha n.k.

MIND U !! Huyu mwandishi amesema CHADEMA wanaitumia JF ,Na hajasema JF INAFANYA--.

Mfano.Unaweza ukawa na KISU chako ambacho unakitumia kwa matumizi yako mema mfano kukatakata nyama,vitunguu ,nyanya nk LAKINI akatokea KICHAA fulani akakitumia KISU chako na kumchoma nacho jirani na hatimaye kusababisha mauti ya jirani.

Nakukumbusha tena WEWE ama KISU CHAKO hakina uhusiano na KICHAA yule na hata hivyo pamoja na kutokua na uhusiano bado haikumuzuia kichaa kukitwaa kisu chako na kusababisha mauti ya jirani.

AGAIN: Usichukulie hiyo habari kwa jazba bali ichukulie kama changamoto na wenda ikakujenga kwa namna moja ama nyingine kwa kuifanya JF ihimili zaidi na zaidi.
OMG!
I never meant this article to be that much bad buddy. Nah, nahoji kama mtanzania kuwaona wanasiasa uchwara ndani ya JF! Kama wewe ni mmoja wao that's ok... Mengine ndani ya makala yake ni allegations ambazo zinaandikwa kila kukicha hapa, almost karudia yaleyale, Dr. Slaa mwenyewe aliyaandika hapa mkuu Masatu akamvaa juu kwa juu!

Try to read the article and see what's my concern. Mambo mengine ni politiki za vyama vyetu, inatusaidia kuwajua vema walivyo! Response ya CHADEMA katika hili inaweza kutufanya tupate mengine zaidi (endapo watafanya hivyo). Hata hivyo makala hii pia imenifungua macho kuwa [wao] wanatumia vyombo vyao kwa maslahi yao ya kumalizana kisiasa ilhali sisi tunatoa fursa kwa wote!

Mkama, hope am well understood then 🙂
 
Yeah,hajui,yaani katika wale watu 500,000 Tanzania wanaojua kutumia kompyuta,je unafikiri Makamba na zile akili zake anaweza kuwemo miongoni?

Huyo mkuu aliyemtaja makamba ni kama anamsingizia tu au kama yupo humu basi atakua ansoma tu kwani na wewe unafikiri akiwemo humu ni lazima aguse keyboard? Usitake kumpandisha mtu chati bure kwa maslahi yako.

Ili "asome" si inabidi abofye bofye ili apate ku access jf? au kuna kitu nina miss hapa?
 
kama gazeti linamilikiwa na rostam unategemea nini? alinunu hili gazeti kwa sababu hii. walaumiwe waandishi wa habari wanaokubalikutumiwa.
 
Back
Top Bottom