Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Takribani raia 14 wa Jordan wameripotiwa kufariki na wengine 17 kupotea wakati wa hija inayoendelea nchini Saudi Arabia. Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudia imethibitisha kuwa vyanzo vya vifo sita ni joto kali linaloendelea nchini humo ambalo kwa sasa linafikia hadi nyuzijoto 48.
Joto hilo limesababisha athari ikiwemo watu kuzimia. Mamlaka yamekuwa yakiwamwagia maji mahujaji katika maeneo ya wazi ili kuwapunguzia athari. Jordan inashirikiana na Saudi kufanya maziko au kusafirisha miili ya waliopoteza maisha kulingana na matakwa ya familia zao.
Habari kwa hisani ya Kitenge TV