Raia 14 wa Jordan waripotiwa kufariki na wengine 17 kupotea wakati wakitekeleza Ibada ya Hija

Raia 14 wa Jordan waripotiwa kufariki na wengine 17 kupotea wakati wakitekeleza Ibada ya Hija

Huyo kafiri atawadanganya nyinyi kwani Hajendapo Makkah , kule makafiri hawaruhusiwi hata kukaribia
Huyu ni Mwarabu mnafiki ambaye ukimsikia story zake zote ni uwongo tu, kwani ukiwa na jina la kislam ndio wewe ni muislam 😄

Viongozi wa kiarabu wengi wana majina ka kiislam lakini wako mbali kabisa na Uislam, wako wengine hata kusali hawasali 😄
 
Ukiambiwa mambo wanayoamini kwenye hilo dubwasha utacheka ni upumbavu mtupu
Ebu niambie maana, sielewi kwanini watu wazima wasafiri umbali woote huo na wengine kufa kwasababu ya hicho kisanduku, kuna nini humo ndani, Quran, au Mtume?
 
Back
Top Bottom