Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Yawezekana ni kama nataka kuanza kuelewa sasa.Nadhani habari hii imetokea katika mamlaka za Jordan kuelezea raia wake waliokufa, na si kwamba wamekufa wa Jordan tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana ni kama nataka kuanza kuelewa sasa.Nadhani habari hii imetokea katika mamlaka za Jordan kuelezea raia wake waliokufa, na si kwamba wamekufa wa Jordan tu.
Takribani raia 14 wa Jordan wameripotiwa kufariki na wengine 17 kupotea wakati wa hija inayoendelea nchini Saudi Arabia. Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudia imethibitisha kuwa vyanzo vya vifo sita ni joto kali linaloendelea nchini humo ambalo kwa sasa linafikia hadi nyuzijoto 48.
Joto hilo limesababisha athari ikiwemo watu kuzimia. Mamlaka yamekuwa yakiwamwagia maji mahujaji katika maeneo ya wazi ili kuwapunguzia athari. Jordan inashirikiana na Saudi kufanya maziko au kusafirisha miili ya waliopoteza maisha kulingana na matakwa ya familia zao.
Habari kwa hisani ya Kitenge TV
View attachment 3019165
Wanakwambia muumini akifa kwenye hijja anaenda moja kwa moja kwenye pepo ya Allah.Sipati picha siku waafrika watakapofia huko hijani kwa waarabu itakuwa wamejitakia wenyewe wakafie huko kwa ujinga wao. Waafrika wameelimika lakini bado wanaburuzwa na dini za michongo
Hiki ndio kichekesho Cha uislam eti wanampiga shetani kwa maweShetan kawawahi kabla hawajampiga mawe...
Hao waliopotea pengine wamechukuliwa directly na yule ponda/farasi chotara burak aliyemneba mudy hadi mbingu ya saba kwa usiku mmoja tu wakati Malaika wa Allah from mbingu ya tatu hadi kifika ya saba kwa speed ya light wanatumia miaka elfu moja kwenda na kirudi elfu moja... This is a mockery cult Muslim religion
Dini yenyewe scam tupu, upuuzi mtupu wanaabudu ibada ya sanamu Mungu hayupo hapo. Saudia imeingiza mapato makubwa imetoka hiyo.
Hiki ndio kichekesho Cha uislam eti wanampiga shetani kwa mawe
Sababu nyingine ya kuprove kuwa Allah hana hizo nguvu wanazomjaza wafuasi wake huko misikitini, bila kusahau yule Mungu wa akina Israel aliyeshindwa vibaya sana dhidi ya wanamgambo wa Hamas.
Dini ni uzushi mtupu
Hakuna Ubaya hata wakifa Maelfu kwasababu kufa katika Hija ni jambo jemaTakribani raia 14 wa Jordan wameripotiwa kufariki na wengine 17 kupotea wakati wa hija inayoendelea nchini Saudi Arabia. Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudia imethibitisha kuwa vyanzo vya vifo sita ni joto kali linaloendelea nchini humo ambalo kwa sasa linafikia hadi nyuzijoto 48.
Joto hilo limesababisha athari ikiwemo watu kuzimia. Mamlaka yamekuwa yakiwamwagia maji mahujaji katika maeneo ya wazi ili kuwapunguzia athari. Jordan inashirikiana na Saudi kufanya maziko au kusafirisha miili ya waliopoteza maisha kulingana na matakwa ya familia zao.
Habari kwa hisani ya Kitenge TV
View attachment 3019165
Kufa katika Hija ni thawabu acha Ukafiri wakoAisee haijawah pita hijja watu wasife ivi umo ktk dubwasha kunanin, uyo Alah hataki kuombwa mbona kawapandishia nyuzi joto ivo
Pesa ambayo saud arabia anapiga wajinga kwa kuwaaminisha jiwe ni allah
Basi tu
Kufa katika Hija ni thawabu acha Ukafiri wako