Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

siku nikisikia kichwa cha ayatoula kimeliwa itakuwa poa sana, badala ya kuwaza maendeleo ya nchi anawaza kujenga misikiti na kufadhili ugaid, bure kabisa.
Wayahudi wakitaka kufanya hivyo nii sekunde tu Ayatollah ana kufa
 
Kuna Muafrika ambaye ubongo haujadumaa Kwa kukisa lishe? Hata wewe hapo ubongo umeduma.
Unadhani kila muafrika ananjaa njaa kama wewe kijana

Njaa tunazo mie nawewe tu sio kila kuafrika kijana
 
Haya utachagua mwenyewe kati ya mungu anayetaka kupiganiwa na Mungu anaewapigania watu wake
Mungu gani anapiganiwa wakati mtu anapigania nafsi yake , wakikushambulia basi nanyi shambulieni ...Hakuna miujiza ya kuomba ila unatakiwa upambane ndio upate msaada .

Makanisa yenu yana walinzi hata viongozi wenu wa miujiza wana walinzi ,,Kasome vita mengi ilikuwa ishu za migogoro ya kibiashara na kutaka kuuwa waislamu ndio maana wakapigana ni kujilinda ...Kama sio kupambana basi Mtume angefia vitani , kuna sehemu alihama kutoka sehemu moja kwenda nyingine yote ni katika kufuata maelekezo aliyopewa .

Sasa nyie Mungu wenu eti mnakubali alikamatwa halafu akateswa , Mbona yeye kashindwa kujipigani hapo !?

Uislamu haupiganiwi maana Mungu mwenyewe ndio ataulinda ni miaka mingapi mbona unasambaa kwa kasi sana ?
 
Kama siyo propaganda hicho kichwa cha habari andika "wa Iran million 1 wamekua makafiri"
Wewe ni mshenzi sikuwa nimekuweka kwenye hiyo idadi ila kwa sasa nimekuweka kwenye washenzi type serious
 
Wewe ni mshenzi sikuwa nimekuweka kwenye hiyo idadi ila kwa sasa nimekuweka kwenye washenzi type serious
Pole dada ake kawaida ya dawa hua chungu ikitokea kua tamu hua bahati mbaya tuuua

Au nawewe kafiri ndio maana ukweli umekugusa

Pole kafiri😂🏃😂
 
Nilifikiri utakuja na hoja, lakini umekuja na matusi kuutukana uislam na waislam. Mimi siamini katika ukiristo lakini sijawahi kukashifu na kutukana ukiristo., naheshimu sana imani za watu. Nafkiri tuishie hapa. Mungu atuongoe sote. Amin
 
Jmaa acha porojo wenzio wanatenga trilion kupambana na uislamu , we na porojo zako plus matusi hauna kitu utafanya .


Muulize Henry klassen



View: https://youtu.be/tcZAc9umdko?si=cCevz5R4vHawsRXp
 
Kama siyo propaganda hicho kichwa cha habari andika "wa Iran million 1 wamekua makafiri"
Ukiendelea na dharau zako, mwishoni utajikuta umebakia huko wewe na shetani wako Allah pekeyenu. Kumbuka mtume yeye aliisha jifia na kuoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…