Hapana mkuu bora unielimishe nisitoke mtupu.Bora [emoji817]
............... Unajua kitu inaitwa identity... Na comouflage
You chose to play it cool/humble.Mkuu sina uhakika kabisa hata hiyo asilimia moja.
so ni kama unataka kusema TISS kwa sasa wamekaa tu ofisini wanakunywa maziwa ya unga???
maana ulivyovitaka vyote havipo tz.
Tell me which book, chapter, and verseI've also red the whole Bible, from Genesis to Revelation. I've repeatedly seen that name.
The same book, chapter, and verse which you read.Tell me which book, chapter, and verse
Sana siunaona wanavyofanya vitu kiurahisi, wana predict matukio nkKuna baadhi ya movies za wazungu ni mbaya sana kama sisi wenyewe tutaziendekeza.
Mkuuu kwa heshima kabisa naomba unifahamishe hilo neno lina maana gani mana nalisikia sikia sana ?mtambuka
Vitu gani nimetaja havipo. Kutokuwepo ni ushahidi kuwa wanafanya kazi yao.
Unataka kusema TISS wapo wanatafuta panya road na vibaka ili wasikae bure ofisini. 24/7 around the clock wapo kazini ila sio dhidi ya panya road.
Upo sahihi sana mkuu...Uelewa wa taasisi hiyo ni swala mtambuka mkuu.
Ufafanuzi safi sana mkuu...mkuu usalama wa taifa unaanzia kwa mtu binafsi,achia mbali kundi la panyaroad,
You would rather identify your friend Lucifer as Beelzebub. That would sound excellent!!Hakuna kazi anayofanya binadamu akiwa na wenzake pasipo kuwa na majungu.
Watu wanapokaa pamoja lazima changamoto zijitokeze, laa sivyo kaa peke yako.
Hata Lucifer alianzaisha majungu Mbinguni ndio maana akafukuzwa.
Mkuuu kwa heshima kabisa naomba unifahamishe hilo neno lina maana gani mana nalisikia sikia sana ?
sijakufahamu mkuu katika maana ya neno mtambuka.Ni kama fumbo, jambo lile lile ila lina maana zaidi ya moja
You mean, Your friend Lucifer?You would rather identify your friend Lucifer
Absolutely. That would sound excellent to your ears.That would sound excellent!!
Nenda field ndo utaelewa msoto....Sana siunaona wanavyofanya vitu kiurahisi, wana predict matukio nk
Basi kila mtu anajiona TISS [emoji2] Kumbe kwenye reality wale ni waigizaji sisi tuko kwenye real life
sijakufahamu mkuu katika maana ya neno mtambuka.
Ebu nifahamishe vizuri mkuu
Sawa mkuu...Kwanza siku hizi no secret anymore it's just a matter of time kwa sababu ya technology.
Nenda field ndo utaelewa msoto....
Jamaa wa hotel Rwanda umeskia... Kuna mtu amemfuatilia for ten years