Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

so ni kama unataka kusema TISS kwa sasa wamekaa tu ofisini wanakunywa maziwa ya unga???

maana ulivyovitaka vyote havipo tz.

Uelewa wa taasisi hiyo ni swala mtambuka mkuu. Huyo dogo msamehe tu, Yeye anajua TISS ni ma agent kama kina Jack Bauer na 007 tu. Yani ku-deal na mambo ya level hizo. Bila kujua kwamba kufikia uhalifu huo wa ngazi hiyo maana yake kuna watu wa chini hawakufanya kazi yao vizuri. Akijua kwamba hajui ndio hapo ataanza hadi kukiogopa kivuli chake.
 
Vitu gani nimetaja havipo. Kutokuwepo ni ushahidi kuwa wanafanya kazi yao.
Unataka kusema TISS wapo wanatafuta panya road na vibaka ili wasikae bure ofisini. 24/7 around the clock wapo kazini ila sio dhidi ya panya road.

mkuu usalama wa taifa unaanzia kwa mtu binafsi,achia mbali kundi la panyaroad,yaani hata wewe ukidandia nguzo ya umeme ili ujiue lazima wawajibike kuhakikisha hilo hufanikishi.

unaposema kuna threat ngazi ya taifa,kijiji na kitongoji ambazo kila moja ina mamlaka yake ya kuzishughulikia unayumba.

threat ngazi ya taifa zina mizizi chini kabisa,ambayo isipodhibitiwa mapema,hali mbele itakuwa mafuriko yasiyozuilika,(kumbuka uamsho).

leo tuwachekee panyaroad bila kuwafukua nje ndani eti ni vibaka tu,waasi nao huwa ni vibaka tu,lakini sasa wanakuwa na silaha za moto,wakiwa na ndimu ile ile ya kisiasa.
 
Hakuna kazi anayofanya binadamu akiwa na wenzake pasipo kuwa na majungu.

Watu wanapokaa pamoja lazima changamoto zijitokeze, laa sivyo kaa peke yako.

Hata Lucifer alianzaisha majungu Mbinguni ndio maana akafukuzwa.
You would rather identify your friend Lucifer as Beelzebub. That would sound excellent!!
 
Sana siunaona wanavyofanya vitu kiurahisi, wana predict matukio nk
Basi kila mtu anajiona TISS [emoji2] Kumbe kwenye reality wale ni waigizaji sisi tuko kwenye real life
Nenda field ndo utaelewa msoto....

Jamaa wa hotel Rwanda umeskia... Kuna mtu amemfuatilia for ten years
 
Kwanza siku hizi no secret anymore it's just a matter of time kwa sababu ya technology.Espionage era imeisha.Watu hawana uzalendo tena na nchi zao.Sasa hivi ni wambea wa watawala tu.

Wana bajeti gani ya kuinvest kwenye espionage?
 
Back
Top Bottom