Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

Kama miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
 
Hao walikuwa wanatumiwa na Mabeberu sasa Mabeberu yamewaingiza king baada ya kukubali uzalendo wa Rais Magufuli.
 
Mkuu samahani kidogo,kwenye andiko lako sijaona mahali huyo marehemu akijinasibu kuwa yeye ni usalama wa taifa mpaka ikapelekea kifo chake.
 
kwenye andiko lako sijaona mahali huyo marehemu akijinasibu kuwa yeye ni usalama wa taifa mpaka ikapelekea kifo chake.
Kujinasibu ama kupewa sifa na watu wengine vyote vinaangukia katika kipengele cha MISTAKEN IDENTITY ambacho ndio dhima kuu ya mada hii.
 
Haisaidii hata ukikataa. Ukisema uripoti polisi kwa madai ya kuhatarisha usalama wako ndiyo kabisa unazidi kujiweka katika nafasi ya watu kukuhisi zaidi.

Cha msingi, tambua ni kipi haswa kilichowavuta kukuhisi hivyo, kisha kibadili. Kama ni kwa sababu ya muonekano wako badilika. Kama ni kwa sababu hawaijui kazi yako, basi tafuta wawili watatu wapajue. Kama huwa unauliza maswali ya mtego, achana nayo. Changamana na watu.
 
Kwani hapa tunaongelea watu wa usalama ama kufananishwa na watu wa usalama? Nimekuambia uchambue ni nini haswa kinawafanya watu wakuhisi hivyo. Then, change.
Comment yako #172 hapo juu umesema kwamba

"Kama ndicho basi waelimishe. Hiyo ndiyo suluhu"

Hii inaweza kusaidia kidogo plus katazo la Polisi kwa umma juu ya kusingizia watu kuwa wanafanana na usalama.
 
CHADEMA Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho.
 
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…