kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,872
Kamtwanga Yani kama anataka kuuaHuzuni lakini ni jambo la kuchekesha, kwani mlinzi alikuwa na tatizo gani? Ulevi?
Inaonekana jamaa kazimia kabisa aiseeKuna walinzi wengine sijui wanakua ni vichaa wamepewa kazi ya ulinzi sasa kulikua na haja gani ya kumpiga ngumi Kali kiasi hicho kwanini usimsukume kidogo tu pembeni daah mtu Hana unampiga kiasi hicho daah
Kamtwanga Yani kama anataka kuua
Nami nimeona live ile ngumi khaaMlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliekua akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowasa
Sio Kwa Ngumi hii aisee halafu Huyu aliepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisaView attachment 2904937
Mlinzi anatembea na hasira kichwani ,unafikiria kuzungushwa juani hapo unakimbia wanapenda.Kwahiyo huyo mlinzi alikuwa anahofia huyo jamaa anaweza kumdhuru kwa kumjeruhi au hata kumuua maiti! Hayo majamaa yanakuaga majinga sana hata jana pale Karimjee nilimuona askari mmoja na bunduki tena akitembea kwa madaha akilinda gari iliyobeba maiti wakati ikiondoka.
Mkuu Taasisi gani hiyo inayochukua vijana wenye kiwango hicho cha ufaulu?Hawa vijana wetu tunaochukua wa Div 4 ya mwisho wanatupa shida sana. Imagine Taasisi nzima inaonekana hamnazo kisa mtu mmoja kama huyu. Pole sana kwa mwathirika waa tukio hili.