Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Mbona kwenye msiba wa Mwenda zake walitandika hadi Kanga na vitenge barabarani ili gari lipite na hakuna aliepigwa ngumi?? Mi naona huyo kuruta tu ndio kayumba ila jamaa hana kosa
Waliwaona Wana akili timamu
Huyo hakuwa hakuwa na akili timamu pombe ilimpelekesha

Huzuni yake ya kilevi sio ya mtu mwenye akili timamu ni kama wale kilimo huja tu akishatandika konyagi
 
hiyo inaitwa Left hook, shabash

UFAFANUZI WA KONDE HILI
1. Mtu anayepigwa hili Konde huwa anaaga dunia endapo afya yake itakuwa ya Mgogoro
2. Mpigaji konde huwa anajiskia raha na hali ya ushindi pande anapohisi konde limefika lilipotumwa.
3. Mpokeaji wa konde hupata ugonjwa wa kushtuka shtuka maisha yake yote, anapokuwa ameponea chupuchupu kuuawa na konde hili.
4. Mpokeaji wa konde anapokuwa chini basi huona nyota na kusikia winbo wa Otile Brown "UMENIPIGA KO" kwa kichwa.
 
Ngumi kama imerushwa kizembe ila ukiizoom na kuitafakari inakoelekezwa ni ngumi ya kitaalam sana.

Mlinzi angempiga mtama tu huwezi kulinda maiti kwa kuhatarisha uhai wa wanaopumua
Hiki ni kiburi cha hali juu. Mwili wa Lowassa una thamani kuliko mtu aliye hai. Kwanza kuna mantiki gani ya kukimbia pembeni ya gari utadhani wamebeba kitu cha thamani sana? Kwa upande wa pili wa shilingi. Na sisi raia tumezidi ukondoo. Watu kama hawa wanapofariki kwa nini tusijikalie nyumbani ili wajue kuwa hatuwathamini kama wasivyotuthamini?
 
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliekua akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowasa

Sio Kwa Ngumi hii aisee halafu Huyu aliepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisaView attachment 2904937
The guy is so cruel and heartless naimani Sheria itachukua mkondo wake
 
Back
Top Bottom