Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Watu kama wewe pengine mmekulia kwenye familia za kishenzi, ambazo hazina uastaarabu na mtu anapokosea kipigo cha mbwa ndiyo suluhisho. Na mbaya zaidi huna exposure yeyote, umezaliwa na kukulia sehemu moja na hujui dunia ilipo sasa hivi. Unatia huruma.
we umedeal nae kistaarab sana. anaihitaji tusi!
 
Kwahiyo huyo mlinzi alikuwa anahofia huyo jamaa anaweza kumdhuru kwa kumjeruhi au hata kumuua maiti! Hayo majamaa yanakuaga majinga sana hata jana pale Karimjee nilimuona askari mmoja na bunduki tena akitembea kwa madaha akilinda gari iliyobeba maiti wakati ikiondoka.
Hatari sana🤣
 
Ana aibisha taasisi sasa mlevi ndo usukume konde,badala TU ya kumpush TU kidogo.
Wako walevi wakorofi aweza toa kisu nk Mlinzi kampa huduma ya kwanza ya ngumi Hadi chini na kuzimia na kuhakikisha Hana Cha kufanya ili yeye aendelee na msafara

Huo Msiba mkubwa sio wa walevi wa mitaani huo
 
Back
Top Bottom