Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Kapigwa kitu kinaitwa "clothesline from hell" kama ya JBL wrestler wa zamani wa WWE...

wwe-clothesline.gif
 
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliekua akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowasa

Sio Kwa Ngumi hii aisee halafu Huyu aliepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisaView attachment 2904937
Kulikuwa kuna Ulazma wa Kumpiga Ngumi?
Hapana.

Je alikuwa anaonyesha Tishio au Ni yuko ana silaha au mabomu au anatishia Usalama wa Msafara?Hapana.

Shida ni nini sasa? Posho askari aliyolipwa kwa ajili ya Safari ya Msiba ni Ndogo? Stress za ugumu wa Maisha?.. Hasira?.. Kuonyesha kuwa anaweza kufanya Lolote na Asichukuliwe Hatua?


Kuishi Tanzania Na Ukiwa Maskini Ni bora Usizaliwe kabisa maana Utafanywa kila aina na dhihaka na dharau..
 
Kumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa lowasa msije mkapigwa ngumi za uso au Risasi. Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio walio mpenda.
Halafu harakaharaka ile sehemu wameiondoa kweye streaming, uki replay huipati tena
 
Back
Top Bottom