Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

[emoji16][emoji16][emoji16]mwamba inaonesha mwanzo hapo kuna kamchezo alikuwa anakamalizia.

Ila haihalalishi huo upuuzi alioufanya huyo mlinzi. Matatizo ya kutatua kila tatizo kwa kutumia nguvu ndo hayo.

Hapo kama mtu kashajichokea zake unaishia kumwua na kusababisha kelele zisizo na ulazima, na serikali ilivyojazana watu wa ajabu ajabu inakulinda mwanzo mwisho.
 
Kumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa lowasa msije mkapigwa ngumi za uso au Risasi. Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio walio mpenda.
Hakuna kitu nachukia na ninaogopa kama bodily harm. Ni crime kubwa sana. Hata kwa madem zangu wakianzaga kelele tu natoka nje.

Haikuwa sahihi huyu bodyguard uchwara kumpiga ngumi muombolezaji kiasi kile. Wala hakuwa tishio.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]mwamba inaonesha mwanzo hapo kuna kamchezo alikuwa anakamalizia.

Ila haihalalishi huo upuuzi alioufanya huyo mlinzi. Matatizo ya kutatua kila tatizo kwa kutumia nguvu ndo hayo.

Hapo kama mtu kashajichokea zake unaishia kumwua na kusababisha kelele zisizo na ulazima, na serikali ilivyojazana watu wa ajabu ajabu inakulinda mwanzo mwisho.
Ukute ni Mpwa wa Marehemu😆😆
 
Back
Top Bottom