Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Ngumi Iko vizuri kuanzia sipdi ya kupiga timely,Shabaha ya kupiga panapistahili na kuleta matokeo stahiki at the right time na bila ku disrupt mwendelezo wa kazi yake ya kusindikiza msafara akiwa mbele na position yake ya mbele alibaki nayo pale pale bila kuhitaji mtu atoke nyuma kuja ku take over position yake aliyokuwa nayo.Ni study case nzuri sana Kwa walinzi wa misafara .Hiyo clip itumike Hadi vyuo vya kijeshi vinavyofunza Escort

Yuko fit.mwepesi kupiga na ku maintain position yake bila ku loose position yake at the same time in very short time spidi ya mwewe
Mbona ngumi ya kawaida tu. We naye unataka kukuza vitu hata havistahili kukuzwa.....hakuna maajabu kwenye hiyo ngumi
 
Umeona,sasa hapo hilo bunduki analinda nini wakati humo kwenye sanduku kumebebwa mzoga! Mimi naona labda wana wasiwasi watu wanaweza kuzicharaza bakora hizo maiti kutokana na chuki iliyojijenga baina ya watawala na watawaliwa maana asikwambie mtu watu mitaani wanawachukia sana watawala sema nidhamu ya woga imetushika na kama wanaamini wanapendwa kama watu wanavyowaigizia basi wajaribu kutembea siku moja moja mitaani bila ulinzi waone upendo halisi.
 
Mlitangaziwa kuwa itifaki inaratibiwa na jwtz......

Muwe mnaelewa. Hata kitabu Cha kajampa nani wanaosainu wanakikuta nje.

Kanisani waliingia washua tu wenye V8 wewe na harrier Yako unaenda kufanya Fujo.

Kazi Yako ni kupiga kura.
Wananchi hswaelewi wataendeleakupigwa tu
 
Kwa uangukaji ule lazima kuna damage

Nimeona hata jirani zake hawajathubutu kumusaidia kuinuka ni kama nao wanashangaa
Hata Miye ningeshangaa maana unaweza kuhisi anarudi kukupiga na Wewe jirani yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom