Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Mbona ngumi ya kawaida tu. We naye unataka kukuza vitu hata havistahili kukuzwa.....hakuna maajabu kwenye hiyo ngumi
 
Umeona,sasa hapo hilo bunduki analinda nini wakati humo kwenye sanduku kumebebwa mzoga! Mimi naona labda wana wasiwasi watu wanaweza kuzicharaza bakora hizo maiti kutokana na chuki iliyojijenga baina ya watawala na watawaliwa maana asikwambie mtu watu mitaani wanawachukia sana watawala sema nidhamu ya woga imetushika na kama wanaamini wanapendwa kama watu wanavyowaigizia basi wajaribu kutembea siku moja moja mitaani bila ulinzi waone upendo halisi.
 
Mlitangaziwa kuwa itifaki inaratibiwa na jwtz......

Muwe mnaelewa. Hata kitabu Cha kajampa nani wanaosainu wanakikuta nje.

Kanisani waliingia washua tu wenye V8 wewe na harrier Yako unaenda kufanya Fujo.

Kazi Yako ni kupiga kura.
Wananchi hswaelewi wataendeleakupigwa tu
 
Kwa uangukaji ule lazima kuna damage

Nimeona hata jirani zake hawajathubutu kumusaidia kuinuka ni kama nao wanashangaa
Hata Miye ningeshangaa maana unaweza kuhisi anarudi kukupiga na Wewe jirani yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…