Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Jamaa alisha mtarget vzr..akampa left moja takatifu ...sawa sawa usemayo mkuu jamaa hajapoteza position yake kama hajapiga mtu vile
 
Kampiga ngumi ya shingo, alitaka kumtoa roho kabisa ,
Fred hii πŸ‘† kitu italeta picha mbaya Sana Kwa wananchi wako, waambie Hao wavuta bangi (waliΓ±zi) ,waheshimu haki za binadamu.
 
Na wewe ukakaa kimya hadi leo kuja kulalama humu, unasikitisha sana,maana umeruhusu hawa washenzi to go away with murder
 
Naunga mkono hoja
 
Hiyo sio ngumi ya kichwa katandikwa ngumi ya shingo.
 

Wapi nilipoandika kakumbwa?

Halafu wewe umeona kapigwa konde la usoni huyo mtu?
 
Jamaa anataka kuua mtu ili kulinda maiti.
Maiti pia hulindwa wanga wengi waweza itaka maiti kuchukua nyota au viungo vya watu maarafu kufanyia uganga

Yule mwanga aliyetungwa ngumi akiwa kalewa kakutana na mjuzi ile ngumi ni kumuonyesha kuwa ulikolalia wewe Mimi ndiko nilikoamkia.Agenda Yako naijua mpuuzi wewe pokea ngumi hiyo

Jeneza lingeweza fika Monduli tupu hakuna mtu ndani jeneza tupu Asante Mlinzi uko fit

Huyo Mlinzi Yuko fit Kila eneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…