Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Ngumi Iko vizuri kuanzia sipdi ya kupiga timely,Shabaha ya kupiga panapistahili na kuleta matokeo stahiki at the right time na bila ku disrupt mwendelezo wa kazi yake ya kusindikiza msafara akiwa mbele na position yake ya mbele alibaki nayo pale pale bila kuhitaji mtu atoke nyuma kuja ku take over position yake aliyokuwa nayo.Ni study case nzuri sana Kwa walinzi wa misafara .Hiyo clip itumike Hadi vyuo vya kijeshi vinavyofunza Escort

Yuko fit.mwepesi kupiga na ku maintain position yake bila ku loose position yake at the same time in very short time spidi ya mwewe
Jamaa alisha mtarget vzr..akampa left moja takatifu ...sawa sawa usemayo mkuu jamaa hajapoteza position yake kama hajapiga mtu vile
 
Kampiga ngumi ya shingo, alitaka kumtoa roho kabisa ,
Fred hii 👆 kitu italeta picha mbaya Sana Kwa wananchi wako, waambie Hao wavuta bangi (waliñzi) ,waheshimu haki za binadamu.
 
Kipindi cha jiwe msafara wake ilikuwa mara ya mwisho kupita geita, sasa zile escorts kabla yeye hajapita ilipita cruiser v8 ya wanajeshi ikamfata boda alikuwa anaendesha pembeni ya barabara ikampa kitu, kisha wakashuka kumtizama amesharest in peace walichofanya wakamwita polisi trafic alikuwa pembeni wakamwambia ita gari uondoe huu mzoga, kisha wao wakatoa kipande cha bumper ya mbele kilikuwa kimekatika wakakitupa pembeni ya barabara, kisha hao wakasepa
Na wewe ukakaa kimya hadi leo kuja kulalama humu, unasikitisha sana,maana umeruhusu hawa washenzi to go away with murder
 
Huyu jamaa sijui hali yake ikoje sasa hivi kwa maana amepigwa ngumi na amenyooka chini kwa style ya kupoteza fahamu.

Hata kama mtu alivuka mipaka ili sio kuwa treated kwa namna ile. Cha ajabu ni kwamba zitaletwa stori za kupotezea tukio hili.

Yani mnapopata mamlaka tu ni misifa inakuwa vichwani mwenu.
Naunga mkono hoja
 
Kumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa Lowassa msije mkapigwa ngumi za uso au risasi.

Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio waliompenda.

Mwananchi
Hiyo sio ngumi ya kichwa katandikwa ngumi ya shingo.
 
Aisee kweli usiamini kiurahisi maneno ya mswahili.

Hapo juu tumeona kabisa asiehusika na msiba kapigwa ngumi ya uso wewe unasema kakumbwa na unatuwekea 'style' yenyewe iliyotumika, heeei tofauti kabisa 😀

Je, kusingekuwa na videa mzee si ungekuja kutuambia kapigwa Teke la korodani kabisa?
Hufai kwa matumizi ya kutoa taarifa.

Wapi nilipoandika kakumbwa?

Halafu wewe umeona kapigwa konde la usoni huyo mtu?
 
Jamaa anataka kuua mtu ili kulinda maiti.
Maiti pia hulindwa wanga wengi waweza itaka maiti kuchukua nyota au viungo vya watu maarafu kufanyia uganga

Yule mwanga aliyetungwa ngumi akiwa kalewa kakutana na mjuzi ile ngumi ni kumuonyesha kuwa ulikolalia wewe Mimi ndiko nilikoamkia.Agenda Yako naijua mpuuzi wewe pokea ngumi hiyo

Jeneza lingeweza fika Monduli tupu hakuna mtu ndani jeneza tupu Asante Mlinzi uko fit

Huyo Mlinzi Yuko fit Kila eneo
 
Back
Top Bottom