babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hivi ngumi ya kushtukizwa unaikwepaje? Imagine tuko jogging halafu ghafla nikuchape left hook unafikiri utakaa uione?😂
Ndio wa kuwa askari, madaraka, wa kulinda raia na viongozi wake!
Traffic barabarani tunaipata fresh, ukienda kituo cha polisi UTAJUTA, ukienda mahakamani balaa, ukikutana na askari wa halmashauri imekula kwako, ukikutana na wale "UNANIJUWA MIMI NI NANI" minyanyaso ya kufa mtu, raia sijuwi ukimbilie wapi?!
Kaka we unajua ngumi naomba tu weekend moja tuwe wote then katika muda usiojulikana nitakutandika konde boy call me number one baaresaaah. Tuone kama utaliona.Wanaojua mazoezi au boxing anakwepa ngumi muda wowote, sasa huyo kanyenyua mikono juu anajua kabisa ngumi inakuja hajui hata kukwepa
Mkuu wakati mwingine hata sisi raia tunakuwa wajinga. Kilichotokea wakati wa kifo cha Magufuli kilinifanya nifikirie mara mbili kuhusu mazishi ya viongozi. Wale waliokufa kwa kukanyagana walikuwa wengi kweli kweli lakini serikali ikadanganya idadi. Kuna jamaa alikwenda kumcheki ndugu yake vyumba vya maiti vya hospital za Muhimbili na Amana akasema kulikuwa na maiti nyingi sana. Na serikali haikujali hata kidogo ilifanya kama ni mbwa wamekufa. Imefika wakati kwa raia kuacha kujipanga au kwenda kwenye mazishi ya hawa viongozi.
Huyo si wanamchukulia mlevi tu [emoji1]Laiti kama angekua mwanamke watu wangesimama dede kupinga ila kwakua ni mwanaume linaonekana ni swala la kwaida tuu
Wa tz acheni kujipendekeza Kwa Hao mafisadi , wala Hata hawawapendi
Naamini hataachwa salama mlizn ataadhibiwa tuHawa vijana wetu tunaochukua wa Div 4 ya mwisho wanatupa shida sana. Imagine Taasisi nzima inaonekana hamnazo kisa mtu mmoja kama huyu. Pole sana kwa mwathirika waa tukio hili.
Huyu mlevi badala azuge kaumia sana anahitaji matibabu anajidai mgumu
Ya Itakuingia sanaIli ikimuingia na kumuuma impe Stimu ya kukupa Mimba zake tukuka uzae akina GENTAMYCINE Wengi?
Jiulize, kama akifa hakuna kesi ya kujibu hapo, cha kuomba ni Mungu ayapishe mbali, raia anyanyuke apate afueni ajikung'ute mavumbi aende zake.Hakutakiwa kuusogelea misafara kapata posho yake
Kubugia Viroba vya pombe huyo vimemponza pombe sio chai Ona Sasa kilichomkuta angelewa akabaki nyumbani yasingemkuta