Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa

Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.

Huyo huyo jamaa angefanya tukio baya mngemlaumu mlinzi,, wabongo ujuaji mwingi wakati mnashindwa kununua sukari kg 1 kwa 6000 tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mbona kwenye msiba wa Mwenda zake walitandika hadi Kanga na vitenge barabarani ili gari lipite na hakuna aliepigwa ngumi?? Mi naona huyo kuruta tu ndio kayumba ila jamaa hana kosa
Mwenyew nimesema hili mbona watu walitandika hadi khanga atukuona wanapigwa basi angemsukuma kidogo aisee sio hii ngumi ya mwana ukome
 
Kwahiyo huyo mlinzi alikuwa anahofia huyo jamaa anaweza kumdhuru kwa kumjeruhi au hata kumuua maiti! Hayo majamaa yanakuaga majinga sana hata jana pale Karimjee nilimuona askari mmoja na bunduki tena akitembea kwa madaha akilinda gari iliyobeba maiti wakati ikiondoka.
Usiombe umaskini wa akili,umaskini wa fedha kila rangi utaiona
 
🤣😂
Na hapo viroba vimepigwa marufuku sijui vingerasimishwa ingekuwaje
Mambo ya ulinzi waachiwe wataalamu wa ulinzi na misafara ya Escort hizo ni fani watu wanasomea ndio maana Toka Mwanzo nikasema huyo Mlinzi alikuwa sahihi wengine wakaleta ujuaji humu wa kijinga
 
Mpigaji na mpigwaji wote wazembe tu. Kulikuwa na haja gani ya kufanya mbwembwe na show off kwenye msafara wa msiba?
 
Kimsingi Kama tungekuwa tunajielewa tulipaswa kuandamana kupinga kitendo cha kikatili na cha udhalilishaji alichofanya Askari.
 
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa

Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.

Kwani huyo aliyepigwa aliponyanyua mkono alikuwa na maana gani?au alikusudia kufanya nini? Lakini pia huo msiba na msafara alimhusu nini hasa mpaka ausogelee msafara kwa karibu kiasi kile?
Mlinzi katimiza wajibu wake. Maswali ni baadaye. Waliandika "Kunywa pombe Kistaarabu na haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka 18". Sasa hapo ujue imekula kwake mazima.
 
Back
Top Bottom