RAIA MWEMA: Kuuchukia ukweli (kuhusu utawala wa Magufuli) hakuufanyi (ukweli huo) kuwa uongo

RAIA MWEMA: Kuuchukia ukweli (kuhusu utawala wa Magufuli) hakuufanyi (ukweli huo) kuwa uongo

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2007
Posts
1,117
Reaction score
4,772
https___bucketeer-e05bbc84-baa3-437e-9518-adb32be77984.s3.amazonaws.com_public_images_a0a11ab...jpeg
 
Na huo ukweli hauwi ukweli Kwa sababu mtu Fulani maarufu anataka uwe ukweli? Never!

Kipimo cha mizania ya ukweli ni kuondoa chuki halafu ukweli ndipo uafutwe
 
Nimeshangaa Raia Mwema wamekosea jina hadi nikajiuliza..wameandika Chahari ..
Anyway good article...
Ungefanyika utafiti wa kujua hili suala la watanzania wengi kutojua kuandika maneno ya kiswahili kwa ufasaha unaingizia Taifa hasara gani basi ungeshangaa. Jina la cheti cha bima ya afya ya mtoto lilikosewa nikaenda nikakuta msululu wa watu wenye tatizo kama hilo, cheti cha kuzaliwa hivyo hivyo yaani ni kila sehemu na kila nyanja. Bado hujakutana na maneno kama gali (gari), ushauli (ushauri) nk. Ni kinyaa. Na hapa sizungumzii typo au bali ni uzembe.
 
Na huo ukweli hauwi ukweli Kwa sababu mtu Fulani maarufu anataka uwe ukweli? Never!

Kipimo cha mizania ya ukweli ni kuondoa chuki halafu ukweli ndipo uafutwe
Chuki inaondolewaje?? Nani hasa alipandikiza hiyo chuki? Unapopanda bangi huwa unatarajia kuvuna kahawa?
 
Hii nchi bila CCM kutoka madarakani , maovu yote yataendelea kuwepo maana source ni hili genge la kijani kibichi hawafai kabisa , Kama ubaya ulitendwa kwa maigizo ya Magufuri vipi mpaka leo watu wenye kesi za kubambikizwa za uhujumu uchumi ,utakatishaji fedha na kutunga za uchaguzi wako mahabusu , jela na viongozi wote wanalijua hilo , mheshimiwa rais Samia , Majaliwa na ccm wote wanajua wamechukua hatua gani kutenda haki ? Mvinyo uleule chupa mpya .
 
Ungefanyika utafiti wa kujua hili suala la watanzania wengi kutojua kuandika maneno ya kiswahili kwa ufasaha unaingizia Taifa hasara gani basi ungeshangaa. Jina la cheti cha bima ya afya ya mtoto lilikosewa nikaenda nikakuta msululu wa watu wenye tatizo kama hilo, cheti cha kuzaliwa hivyo hivyo yaani ni kila sehemu na kila nyanja. Bado hujakutana na maneno kama gali (gari), ushauli (ushauri) nk. Ni kinyaa. Na hapa sizungumzii typo au bali ni uzembe.
typo ni kitu gani mkuu

Wewe mwenyewe unakosea kuandika

Lugha, lugha na matumizi

Tofautisha haya maneno advice na advise kwa kiswahili

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Naona Jasusi mbobezi umeanza kuandika tena Raia mwema baada ya kususa kwa sababu walitoa taarifa zako kwa kitengo.
 
Back
Top Bottom