RAIA MWEMA: Kuuchukia ukweli (kuhusu utawala wa Magufuli) hakuufanyi (ukweli huo) kuwa uongo

RAIA MWEMA: Kuuchukia ukweli (kuhusu utawala wa Magufuli) hakuufanyi (ukweli huo) kuwa uongo

Evarist Chahali huyu alisema watu wameteswa Awamu yaTano.
Magufuli alipoarifiwa,akafukuza watu kazi katika vyombo vya usalama. Sasa Chahali anataka ufanyike uchunguzi gani?
 
Mwendazake alikuwa dikteta shetani mkubwa,,na wengi wanaomsapoti kichwani ni weupe
Wanaomchukia sana Magufuli asilimia kubwa Wachagadema kwa vile aliwabana kuendeleza ufisadi. Huyu ni marehemu tuache apumzike na tugange yajayo.
 
Back
Top Bottom