Raia Mwema: Makonda Kibarua kizito, wengine wajitokeza kumshitaki

Ukweli ni kwamba siku atakapofikishwa kizimbani mtaona atakavyoshambuliwA na wananchi. SERIKALI ITAPIMA UPEPO UTAKAVYOKUA..KAMA ITAONA WATU WENGI WANAMWELEKEO KWAMBA JAMAA AFUNGWE BASI, kesi haitafutw ili kukidhi haja ya wananchi. Kumbukeni Sirikali ikishakutumia kukutupa jalalani pia ni rahisi. Hvyo Hii kesi ni fifty fifty. Subilini!!
 
Hata mimi japo ndiye nilieandika hapo ila nina mashaka na nilichoandika.
Ndio maana ya mjadala kwenye hoja,kuna mazungumzo au maandishi unaweza kuyatoa under corrections na hii sio jambo la ajabu!anyway tujikite kwenye hoja iliyopo
 
Mkuu ,gazeti la raia mwema usilifuate unapoteza MDA mkuu
 
Sasa akishitakiwa atashitakiwa kama nani? Akiruka akasema yeye si makonda bali ni bashite na vyeti akawa anavyo mbona anashinda kesi mapema tu.
 
Katiba ya Tanzania hairuhusu Makonda kushtakiwa kwa sababu ili ufanikiwe kumshtaki Makonda lazima serikali iridhie/ikubali/ipitishe mashtaka hayo kupitia DPP.
Tunaomba kifungu cha katiba mkuu ambacho kinachompa Makonda kinga ya kutoshitakiwa.

Ama tumpe elimu ni kwa vipi hawezi kushitakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…