Raia Mwema: Mbowe na Lissu watofautiana kauli

Hawawezi kuwa sawa.

Mbowe ameonja uchungu wa uongozi hadi kasota jela miezi nane.

Lissu anaongea akiwa nje ya nchi, hana uhalisia wa chama.

Hata huo uongozi wa chama Lissu aachane nao
Unaujua uchunguvea risasi 16 ww
 
Hawawezi kuwa sawa.

Mbowe ameonja uchungu wa uongozi hadi kasota jela miezi nane.

Lissu anaongea akiwa nje ya nchi, hana uhalisia wa chama.

Hata huo uongozi wa chama Lissu aachane nao
Unajua kazi aliyoifanya Lissu kwa chama huko nje? Kaa karibu na wanaofahamu hili sio ndani ya Chadema tuu bali hata serikalini hasa Hazina na Foreign affairs watakuambia kibano walichokuwa wanakumbana nacho huko kwa nchi wahisani na mashirika ya kimataifa kutokana na ushawishi wa Lissu.
 
Kamanda jikite kwenye hoja acha kulialia na ramli
 
Lakin
Hawawezi kuwa sawa.

Mbowe ameonja uchungu wa uongozi hadi kasota jela miezi nane.

Lissu anaongea akiwa nje ya nchi, hana uhalisia wa chama.

Hata huo uongozi wa chama Lissu aachane nao
Though naona hakuna huo ugomvi Wala tatizo Kama watatofautiana Ila just a point of correction, hata nae Lissu alikula Shaba kama utitiri mwilini sababu ya siasa zake ambazo chama kilimpa go ahead aziendeshe kwa wakati ule.

So naona wote Wana uchungu na siasa wanazofanya Ila kwangu mie naona Lissu is better a propagandist than a leader mkuu wa chama huwa ana jazba kiasi wakati fulani jambo ambalo ukimuweka na Mbowe yeye Lissu anakuwa hawezi kumzidi Mbowe hata kidogo kwenye uongozi.
 
Mtasubiri sana nyie sukuma gang,
Zama zenu mlizitumia kuumiza watu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…