jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ngoja tukajiunge huko tuziishi..fikra chanya za Nyerere na JPM.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema ni rahisi sanaTanzania inahitaki chama kipya makini kitachotoa toa challenge sera na serikali mbadala.
Chama cha kuwapigia wananchi na kutatua matatizo na changoto zao.
Chama kitachowaunganisha Watanzania wote, bila kujali kabila,dini,kanda, tabaka, chama, elimu, uwezo.
Wasio na vyama, walitemwa na kutengwa na vyama, wanachama wa vyama vingine wazalendo wote inabidi waungane kuanzisha chama kipya kwa maslahi ya Taifa.
Hivi kuna watu bado wanamkumbuka JPM na roho mbaya yote ile!!!
Tutawafyeka wote wapumbavu hao!!!
Hahahah kwa taarifa yako Umoja party haina vigogo kabisa, gazeti la Ulimwengu linaendesha propaganda na tunajua Ulimwengu ni msaliti na mwenye chuki binafsi na Dkt Magufuli.Tutawafyeka wote wapumbavu hao!!!
Serikali ina akili mingi mingi sana, na kwa vile duniani wajinga ni wengi sana kuliko wenye akili [emoji851]Ni zamu ya wamiliki wa magazeti kulamba Asali sasa.
Ni mwenye akili iliyolala tu ndiye anaweza kuamini uandishi wa habari dizaini hii.
Km ni kweli CCM lazima itikisike.Wapiga kura wengi wanaumiza kifo Cha JPM.wapiga kelele kwenye mtandao ni wachache sana,wengi wafuasi wa jpm hawapo kwenye mitandao ya kijamii.UMOJA PARTY chama cha ukombozi dhidi ya majangili CCM
Nani mmiliki wa hili gazeti siku hizi?Hili lilikuwa gazeti enzi za Jenerali Ulimwengu siku hizi mhh
Kusema ni rahisi sana
Gazeti la mzee wa tembo Hilo achaneni nalo. Magufuli alishafariki acheni kuweweseka.
Nje ya maji mamba si lolote. Kinachotakiwa ni kutompigia kura Samia asiingie kwenye tatu Bora.Ngoja tukajiunge huko tuziishi..fikra chanya za Nyerere na JPM.
#MaendeleoHayanaChama
Kusema kutoa ushauri, ideas, mawazo tofauti ni makosa?Kusema ni rahisi sana
Nyie ambao mpo brainwashed kuhusu uzalendo mna shida sana. Hizi ni nguvu mbili, uzalendo vs rushwa, lazima uzalendo ushinde maana nyie lengo si la nchi bali utapeli. Na hakika hii nchi siku ikirudi mikononi mwa wazalendo mjiandae kukimbia nchi au kutubu dhambi za udharimuHivi kuna watu bado wanamkumbuka JPM na roho mbaya yote ile!!!
Maji ni machafu sana sasa hivi. Hayashafishiki. Wenye chama wanazidi kuweka sumu.Nje ya maji mamba si lolote. Kinachotakiwa ni kutompigia kura Samia asiingie kwenye tatu Bora.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hakuna mzalendo nchi hii, wote wapiga deal tu acha kupoteza mudaNyie ambao mpo brainwashed kuhusu uzalendo mna shida sana. Hizi ni nguvu mbili, uzalendo vs rushwa, lazima uzalendo ushinde maana nyie lengo si la nchi bali utapeli. Na hakika hii nchi siku ikirudi mikononi mwa wazalendo mjiandae kukimbia nchi au kutubu dhambi za udharimu