Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Hivi Ole Sabaya alikuwa muumini wa dini ipi? Inaonekana hakuwa na hofu ya Mungu hata chembe. Kwa kuangalia/ kusikia haya anayodaiwa kuyafanya enzi za utawala wake.
Kama kayafa tuu
 
Inadaiwa kwamba Sabaya akishalewa kwenye Bar yoyote alikuwa anang'ang'ania mwanamke yeyote aliyemtaka na kuondoka naye kwenye Hotel yoyote na kumfanyia ukatili alioutaka huku akilindwa na Polisi na Mabaunsa wake
Wanafunzi walifuata nini bar⁉️
 
Back
Top Bottom