Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

"Moja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni unyanyasaji wa kingono. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali, kuwachukua kwa nguvu anapokutana nao kwenye klabu za usiku, na kuwapeleka hotelini kufanya nao ngono kwa lazima. Jumla ya wanawake 40
Yakithibitika nipeni tasrifa niungane na mabodboda wenzangu tuendeshe toka hadi chato kuadhibu lile kaburi la hitler
 
Eti kama mwenda zake angekuwepo hadi leo, huyu mtu angeliendelea kubaki kwenye uongozi kama vile hakijatokea kitu, World is not fair at all.
The almighty God who is above everything, aliona haya yote kuwa yametosha na yakatokea hayo. Naanza kuona kwa nini serikali ilisema watu wasifanye sherehe wakati wa maombolezo! Lakini mwendazake hakuyajua hayo.
 
Hili tukio la Sabaya CHADEMA mmelivalia njuga, mnalifanya limekuwa kama la kisiasa sana.
Tukio lenyewe ni jinai ila kwa kuwa uteuzi ulikuwa wa kisiasa na nguvu ya kisiasa ndiyo ilimlinda, basi siasa haiwezi kuwekwa kando kabisa
 
Taarifa kutoka Takukuru zinaonyesha kwamba mpaka muda huu Jumla ya Wanawake 40 wakiwemo wanafunzi wa vyuo na Sekondari wamejitokeza kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na kufanyiwa ukatili mwingine wa Kingono na Mtukufu Ole Sabaya (namba inaweza kuongezeka).

Inadaiwa kwamba Sabaya akishalewa kwenye Bar yoyote alikuwa anang'ang'ania mwanamke yeyote aliyemtaka na kuondoka naye kwenye Hotel yoyote na kumfanyia ukatili alioutaka huku akilindwa na Polisi na Mabaunsa wake.

Tutaendelea kuwaletea uhalifu wa huyu jamaa kwa kadri unavyotufikia bila kuedit chochote .

Endelea kututegea sikio.
---
Waongo hao wanatafuta kiki wapuuze.
 
Tukio lenyewe ni jinai ila kwa kuwa uteuzi ulikuwa wa kisiasa na nguvu ya kisiasa ndiyo ilimlinda, basi siasa haiwezi kuwekwa kando kabisa
Ukiingiza siasa, Sabaya anachomoka.

Hakuna namna yoyote mfumo alioutumikia Sabaya, ukawasaidia CHADEMA kulipiza kisasi kwa Sabaya.
 
Kwani zile jela za kuulizana umefungwa kwa kosa gani ili wababe wakamilishe hukumu hazipo tena? Miaka hiyo kuna wanaume waliotoka jela vidole juu
 
January 18 mwaka 2019 aliyekua mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya anadaiwa kujipatia zaidi ya TZS 500M kwa njia za udanganyifu. Sabaya aliwaandikia barua wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wilayani humo akitaka kila mmoja kuchangia kiasi kisichopungua 15M kwa ajili ya sherehe za maadhimisho ya miezi sita toka ateuliwe.

Jumla ya wawekezaji 35 waliandikiwa barua na kulazimishwa kuchangia sherehe hizo. Wale walioshindwa walipewa usumbufu katika biashara zao ikiwemo madai ya kukwepa kodi. Mmoja wa waliokumbwa na kadhia hiyo ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Tudley inayomiliki mashamba ya Kibo na Kikafu Estate, Bw.Jensen Natai ambaye aliwekwa rumande kwa siku 3 na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria (passport) kwa madai 'feki' ya kukwepa kodi.

Mfanyabiashara mmoja aliyewekeza kituo cha mafuta wilayani Hai ameonesha barua aliyoandikiwa na Sabaya na bank transfer ambayo alituma kiasi cha TZS 15M, ili kugharamia sherehe hizo za miezi 6 ya Sabaya ofisini. Hata hivyo baada ya kukusanaya fedha hizo hakuna sherehe yoyote iliyofanyika, na haijaelezwa fedha hizo zilitumikaje.

Inadaiwa kuwa moja ya mbinu alizokua akizitumia kuwatisha wafanyabiashara ni kujirekodi kila anapoongea na viongozi wakubwa wa serikali akiwemo JPM. Alikua anawasikilizisha wafanyabiashara hao maongezi yake na JPM halafu anawahakikishia kulinda biashara zao kwa sababu yupo karibu na mzee.!
 
Huyu Sabaya si wamfunge maisha tu au hang him to death. Huyu si binadamu kabisa😡😡😡😡
 
Ukiingiza siasa, Sabaya anachomoka.

Hakuna namna yoyote mfumo alioutumikia Sabaya, ukawasaidia CHADEMA kulipiza kisasi kwa Sabaya.
Sasa ndo vizuri?! Si mnataka mume wenu achomoke?! CHADEMA inawasaidia tu, kumchoa kisiasa!
 
Cha kusikitisha ni kwamba mwendazake alikuwa akifurahishwa na watu wakatili kwa matendo yao dhidi ya binadamu wengine.
Na hii ndiyo sababu ya vyombo vya habari kuminywa uhuru wao.
Jiwe walikuwa wanampatia ukiongea nae mwambie habari yakununua Chadema kesho tu anakupandisha cheo
 
Duh! Afadhali Bashite, yeye alipora pesa na mali, haya ya ukatili na ubabe wa kutisha kwa kina dada na mama yanatisha, tusubiri tuone ukweli...
Anapotea kwenye ulingo kisiasa ki "bashite" style!
Kweli "politics is a dirty game"
Unajua burn aliyopewa Bashite yakutokwenda Marekani? hayo yote ni majambaz tu
 
Sijaona kosa hata moja la kubaka!

Ina maana raia mwema ni waongo hivi
 
Duu,,,kuna majitu yatapigana sana Leo ,,kugombea kubikiri mtoto wa kishua.
 
Back
Top Bottom