Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Lema kwa upendo wa dhati kabisa alimpigia simu kumuonya huyo bwana mdogo lakini alimdharau sana.
Kwa kweli atamkumbuka hata usingizini. Kuna msemo unasema maisha yanayomzunguka mtu hayajui Kama watu wa nje wanavyoyajua. Wengine wanachukulia kutokana na matendo, maneno na maisha anavyoishi na watu.
 
Hili Gazeti la "Raia Mwema" linamilikiwa na nani?

Kila siku wao ni kuandika habari za Ole Sabaya.

Au Gazeti hili linamilikiwa na Mbowe? Mnaojua tunaomba mtujuze tafadhali.
 
Possible the one who nominate him was of that type...!,so that's why he didn't took anya actions on that grand hooligans.
 
Kuna watu wana miaka wako ndani mbona hamsemi? Rugemarila na Habinder Seth wana miaka mingapi ? Sabaya siku tano tu ukilinganisha na makosa aliyotenda beyond humanity .
Kina ruge n co. Washasomewa mashtaka na kesi zao zipo mahakamani.
Sabaya amezuiliwa kororoni na hajapelekwa mahakamani, ni kinyume cha sheria.
 
Serikali iliyowashililia kina Tito Magoti, Lema, Lissu na wengine ndiyo hiyo hiyo inamshitikisha Sabaya. Tatizo hili umeliona lini mwenzetu?
Mimi nasimama na sheria kifungu cha 32 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 marejeleo ya 2019, hizo siasa zenu sipo huko
 
Hatavitabu vya dini vinasema
Haramu huliwa na haramu

Ikiaminika kalawiti na ale mkongojooo
 
Yeye mwenyewe alijiita kichaa hivyo bila shaka kigezo namba moja alichozingatia ni ukichaa.
 
Kulikuwepo na DC mmoja alikuwa anaitwa MEELA , naye alikuwa na tabia kama za sabaya, yaani kipindi kile ulikuwa huwezi kumshauri kitu, ukatili na kiburi kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom