Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madikteta na washenzi wengi hutumia huu ujanja ili kuaminika. Hupenda kujificha kwenye imani ya dini.Hapa najifunza kitu kimoja usifanye dhambi ukamshirikisha Mungu atakuumbua had ujute
MwanaCcm mwenzenu hamna cha kumfanya mnatuletea gelesha kupumbaza wadanganyikaNilishaongea sana habari za ole post zilizopita
Nimeacha kuongea sasa sababu suala lake liko kwenye vyombo husika sasa
Nyie tagazi band hamjawahi kuwa na akili hii Ni kwasababau mnatumia mgongo wa Uccm kuiba fedha za umma(wezi wakubwa). Kuanzia 1.5T mpk hizi za wizara ya fedha .40? Hawa kuna namna wanataka kupata kitu.
Ole Sabaya ni Mbaya lakini kuna vitu vingine vinakuzwa ili watu wanufaike kwa namna flani
Serikali iwe makini na kugundua hili
Sijui Msai wa Wapi huyu jamaa?Huyu jamaa vitendo alivyokuwa akifanya (huku akiungwa mkono na mwendazake) ni vya kinyama sana. Kuondoka kwa JPM kumeibua mengi. Hivi JPM angeendelea kuwa hai hadi leo ni wananchi wangapi wangedhulumiwa na hili jangili la kimasai? Ngoja likanyee debe akili zilikae sawa.
We kilembwe huyo dogo wachaga mlimlea sana. Angetia timu Kanda maalumu wangemyakua mapema sanaWachaga wameingiaje wameaibisha vipi hapa?
Hujaona gazeti hapo RAIA mwema.aiseChanzo cha habari?
Mungu anatajwa mara mia kwa siku[emoji848] kumbeeHapa najifunza kitu kimoja usifanye dhambi ukamshirikisha Mungu atakuumbua had ujute
Si amtongoze tu??Mi mtu anaetumia mabavu kupata uchi namuona binadamu wa daraja la chini mno na hana standards.Akiona dem mwenye msambwanda mkubw lazim akili ziruke....😂😂😂
Ova
Ilikuwa inategemea kaamkajeHivi mwendazake alikuwa anatumia vigezo gani kuteua hawa vichaa?
Hili gazeti la nani?Taarifa kutoka Takukuru zinaonyesha kwamba mpaka muda huu Jumla ya Wanawake 40 wakiwemo wanafunzi wa vyuo na Sekondari wamejitokeza kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na kufanyiwa ukatili mwingine wa Kingono na Mtukufu Ole Sabaya (namba inaweza kuongezeka)...