Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Hata kama ulimkuta njiani haurusiwi kumchukua bila ridhaa yake.
Bar ni sehemu ya starehe na siyo sehemu ya kutenda uhalifu.
Kwahiyo akimkuta bar, ndiyo amfanyie vile anavyotaka?
Waliishi kama wafalme kipindi cha Mwendazake lkn sasa Wanasota.
Sioni zile kelele za Musiba, Ndugai na wenzake
Wanawake wenyewe alikuwa anawakuta Bar!
 
Watu wa Arusha wanamfahamu vyema Sabaya. Alipokuwa mwenyekiti tu wa UVCCM Arusha watu walinyooka.
Yeye kuingia hotelini na demu halafu asilipe ni kitu cha kawaida. Aliwadhulumu kwerii kwerii wenye mahotel.
Ukimdai anatoa kitambulisho cha TISS kuwa yeye ni UNDERCOVER.
Hapa alikuwa anazingua sana, miaka ile akiwa UVCCM aliwazuzua sana mabinti wa vyuo na kitambulisho chake hicho....
 
Moja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni unyanyasaji wa kingono. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali, kuwachukua kwa nguvu anapokutana nao kwenye klabu za usiku, na kuwapeleka hotelini kufanya nao ngono kwa lazima. Jumla ya wanawake 40 wamejitokeza kutoa ushahidi, limeripoti gazeti la Raia Mwema.

Kati ya wanawake hao wapo wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika mikoa ya Arusha na Kilimnjaro. Kati ya wanafunzi hao wawili wanadai kulawitiwa baada ya kutekwa na walinzi wa Sabaya walipokutana nae night club. Mmoja kati ya walinzi amekiri kuwapeleka wasichana hao kwa Sabaya lakini amekanusha tuhuma za ulawiti.

"Tuliagizwa kuwachukua lakini sikujua mahusiano yao na Mhe.Sabaya wala sikujua kama walikubaliana kukutana. Nakiri kuwapeleka kwake lakini kuhusu kulawiti siwezi kutoa ushahidi maana sikuwa naye ndani" mmoja wa walinzi wa Sabaya ameieleza timu maalumu (task force) inayochunguza suala hilo kwa kushirikiana na TAKUKURU.

Sabaya anadaiwa kufanya vitendo hivyo katika hoteli mbalimbali za kifahari jijini Arusha na amekuwa akiondoka bila kulipa. Baadhi ya hoteli zimekiri kumdai Sabaya baada ya kupata huduma mbalimbali ikiwemo malazi na chakula lakini amekua akindoka bila kulipa. CG Hotel wanamdai 8.7M, Grand Melia 14.8M, Marves Hotel 3.4M, na Massai Land 9M.

Sabaya ambaye yupo mahabusu tangu May 25 mwaka huu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote ikiwa ataonekana ana kesi ya kujibu.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni jana alisema "Ni kweli tunamshikilia tangu jumanne ya wiki iliyopita kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka na rushwa. Akionekana ana kesi ya kujibu atafikishwa mahakamani"

My Take
Chanzo cha haya yote ni John Magufuli. Yeye alidhani anamkomoa Mbowe kumbe anagongewa watanzania wanyonge
Tunasema hivi , KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE
 
SarZuri mshamba sana halafy anajifanya wa ukweli kumbe mshamba fulani, boya sana huyu dogo
 
Cha kusikitisha ni kwamba mwendazake alikuwa akifurahishwa na watu wakatili kwa matendo yao dhidi ya binadamu wengine.
Na hii ndiyo sababu ya vyombo vya habari kuminywa uhuru wao.
 
Mwenyezi Mungu fundi sana. Bila kumchukua yule dhalimu huyo mhuni Sabaya angeendelea na dhuluma na udhalimu wake kwa miaka mingi sana.
Ndugu zangu, taratibu Watanzania mtaelewa kwa nini baadhi yetu tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea huyo dhalimu. Ndege wafananao huruka pamoja na mwendazake alijua fika anawateua viongozi wa namna gani kumwakilisha yeye kwenye wilaya na mikoa. Ni Tanzania ya Magufuli tu wawakilishi halali waliochaguliwa na wananchi walikuwa wakiswekwa hovyo ndani na kudhalilishwa na wateule hawa wahuni jinsi walivyopenda.

Maguful.jpg

Hiyo sura tu inaonesha alikuwa mtu wa namna gani.​
 
Hili tukio la Sabaya CHADEMA mmelivalia njuga, mnalifanya limekuwa kama la kisiasa sana.

CHADEMA mko desperate sana, yaani Mnavuruga kabisa
Kwa hiyo kwako wewe usie Chadema, yote anayotuhumiwa nayo si sahihi kuyavalia njuga. Nilidhani Mtanzania kumbe utaifa wako ni M-Ccm.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli nilipata kafuraha fulani zama za mawe zilivyoangukia pua
Asante UVIKO19...
 
Moja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni unyanyasaji wa kingono. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali, kuwachukua kwa nguvu anapokutana nao kwenye klabu za usiku, na kuwapeleka hotelini kufanya nao ngono kwa lazima. Jumla ya wanawake 40 wamejitokeza kutoa ushahidi, limeripoti gazeti la Raia Mwema.

Kati ya wanawake hao wapo wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika mikoa ya Arusha na Kilimnjaro. Kati ya wanafunzi hao wawili wanadai kulawitiwa baada ya kutekwa na walinzi wa Sabaya walipokutana nae night club. Mmoja kati ya walinzi amekiri kuwapeleka wasichana hao kwa Sabaya lakini amekanusha tuhuma za ulawiti.

"Tuliagizwa kuwachukua lakini sikujua mahusiano yao na Mhe.Sabaya wala sikujua kama walikubaliana kukutana. Nakiri kuwapeleka kwake lakini kuhusu kulawiti siwezi kutoa ushahidi maana sikuwa naye ndani" mmoja wa walinzi wa Sabaya ameieleza timu maalumu (task force) inayochunguza suala hilo kwa kushirikiana na TAKUKURU.

Sabaya anadaiwa kufanya vitendo hivyo katika hoteli mbalimbali za kifahari jijini Arusha na amekuwa akiondoka bila kulipa. Baadhi ya hoteli zimekiri kumdai Sabaya baada ya kupata huduma mbalimbali ikiwemo malazi na chakula lakini amekua akindoka bila kulipa. CG Hotel wanamdai 8.7M, Grand Melia 14.8M, Marves Hotel 3.4M, na Massai Land 9M.

Sabaya ambaye yupo mahabusu tangu May 25 mwaka huu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote ikiwa ataonekana ana kesi ya kujibu.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni jana alisema "Ni kweli tunamshikilia tangu jumanne ya wiki iliyopita kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka na rushwa. Akionekana ana kesi ya kujibu atafikishwa mahakamani"

My Take
Chanzo cha haya yote ni John Magufuli. Yeye alidhani anamkomoa Mbowe kumbe anagongewa watanzania wanyonge
Sabaya aliwahi nipokonya dem tukiwa The Don Arusha
 
Hakutumwa kufanya hayo aliyofanya, kila mtu ahukumiwe kwa dhambi zake
 
Moja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni unyanyasaji wa kingono. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali, kuwachukua kwa nguvu anapokutana nao kwenye klabu za usiku, na kuwapeleka hotelini kufanya nao ngono kwa lazima. Jumla ya wanawake 40 wamejitokeza kutoa ushahidi, limeripoti gazeti la Raia Mwema.

Kati ya wanawake hao wapo wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika mikoa ya Arusha na Kilimnjaro. Kati ya wanafunzi hao wawili wanadai kulawitiwa baada ya kutekwa na walinzi wa Sabaya walipokutana nae night club. Mmoja kati ya walinzi amekiri kuwapeleka wasichana hao kwa Sabaya lakini amekanusha tuhuma za ulawiti.

"Tuliagizwa kuwachukua lakini sikujua mahusiano yao na Mhe.Sabaya wala sikujua kama walikubaliana kukutana. Nakiri kuwapeleka kwake lakini kuhusu kulawiti siwezi kutoa ushahidi maana sikuwa naye ndani" mmoja wa walinzi wa Sabaya ameieleza timu maalumu (task force) inayochunguza suala hilo kwa kushirikiana na TAKUKURU.

Sabaya anadaiwa kufanya vitendo hivyo katika hoteli mbalimbali za kifahari jijini Arusha na amekuwa akiondoka bila kulipa. Baadhi ya hoteli zimekiri kumdai Sabaya baada ya kupata huduma mbalimbali ikiwemo malazi na chakula lakini amekua akindoka bila kulipa. CG Hotel wanamdai 8.7M, Grand Melia 14.8M, Marves Hotel 3.4M, na Massai Land 9M.

Sabaya ambaye yupo mahabusu tangu May 25 mwaka huu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote ikiwa ataonekana ana kesi ya kujibu.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni jana alisema "Ni kweli tunamshikilia tangu Jumanne ya wiki iliyopita kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka na rushwa. Akionekana ana kesi ya kujibu, atafikishwa mahakamani"
Huyu jamaa vitendo alivyokuwa akifanya (huku akiungwa mkono na mwendazake) ni vya kinyama sana. Kuondoka kwa JPM kumeibua mengi. Hivi JPM angeendelea kuwa hai hadi leo ni wananchi wangapi wangedhulumiwa na hili jangili la kimasai? Ngoja likanyee debe akili zilikae sawa.
 
Back
Top Bottom