Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyonge walinyongwa kwel kweli.
Yan tulipigwa sana ila sema ndio hvyo propaganda zao zilituzipa macho tusione.Kukutwa ana jumla ya 3 billions nyumbani kwake na kwenye bank accounts zake kumenishangaza sana. Na huyo ni Mkuu wa Wilaya tu! Sasa imagine yule Makonda ambaye naye inadaiwa alikuwa akipita kwa Wafanyabishara wakubwa Dar kukusanya “pesa ya chama”
Wanapatikanaje hao mashahid mbona sijasikia tangazo la kutafuta mashahid?Taarifa kutoka Takukuru zinaonyesha kwamba mpaka muda huu Jumla ya Wanawake 40 wakiwemo wanafunzi wa vyuo na Sekondari wamejitokeza kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na kufanyiwa ukatili mwingine wa Kingono na Mtukufu Ole Sabaya (namba inaweza kuongezeka)...
Hatari kama loteKukutwa ana jumla ya 3 billions nyumbani kwake na kwenye bank accounts zake kumenishangaza sana. Na huyo ni Mkuu wa Wilaya tu! Sasa imagine yule Makonda ambaye naye inadaiwa alikuwa akipita kwa Wafanyabishara wakubwa Dar kukusanya “pesa ya chama”
Hili JAMBAZI la kimasai halina pa kutokea. Lazima likanyee debe. Kumbe ndio maana mwendazake alipofariki lililia sana kwa kuwa lilifahamika fika mtetezi wake ameondoka maana hata afanye ujinga wa aina gani mwendazake alikuwa anamuunga mkono. Jinga kabisa hili jamaa.Taarifa kutoka Takukuru zinaonyesha kwamba mpaka muda huu Jumla ya Wanawake 40 wakiwemo wanafunzi wa vyuo na Sekondari wamejitokeza kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na kufanyiwa ukatili mwingine wa Kingono na Mtukufu Ole Sabaya (namba inaweza kuongezeka)
Mwendazake alimhakikishia usalama wake wa kiungozi, hivyo hakuwa na wasiwasi wowote wa ujambazi aliokuwa akiufanya. Ndio maana mwendazake alipofariki, Sabaya alilia machozi kama mwanamke mwenye uchungu wa kujifungua (labour).Duh huyu jamaa alikuwa na akili gani? Hizo kesi anachomokaje sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina bahati sana ukimaanisha nini??Alikuwa mpendwa wa Mwendazake huyo. Una bahati sana haukukutana naye akiwa kalewa😂😂
Nilishaongea sana habari za ole post zilizopitaMbona mama D halalamiki hili au kisa unduguCcm
Bahati njemaNina bahati sana ukimaanisha nini??
Bahati hiyo mbaya au njema!?
Una IQ kubwa sanaMkuu hii kesi kwanini iko TAKUKURU na siyo polisi? Kwa maoni yangu TAKUKURU haihusiki hata chembe na hii kesi.
Una IQ kubwa sana