Raia Samia asikie ya kuambiwa: DP World inatupeleka kubaya

Raia Samia asikie ya kuambiwa: DP World inatupeleka kubaya

Yamesikika ya wasomi (nguli kwa mapoyoyo), chawa, wajinga na hata werevu:

View attachment 2675885

Kwani kuna haja ya kuliacha suala hili kuendelea mno?

"Labda kwa kusubiria dodo kwenye mnazi."

Ushauri wa bure tunaelekea kubaya.

Hakuna kuliacha Dp iingie bandarini ukicheka na wtz hufanyi maendeleo ndo mana JPM alihakikisha analoamua linafanyika na yule atakae leta uzibe anapitanaye
 
Ndugu inabidi tutambue kua:-

1. Wapo wanaopinga mkataba huu kwa sababu madili yao na wizi wao hapo bandarini utakomeshwa na hivyo hawatapata nafasi ya kutuibia tena.
2. Wapo wanaopinga kwa sababu hawana imani na matakwa ya mkataba huo ambao ni wachache sana.

Japo si mtaalam wa uchumi wala sheria lakini najiuliza, kama bandari itaingiza faida kubwa kwenye pato la taifa chini ya huo mkataba wa DPW kuliko ilivyo chini ya serikali, sambamba na kuondoa usumbufu mwingi ikiwemo mizigo kuchelewa kutoka, tatizo ni nini hata kama uwe wa milele?
Mfano wewe ukisimamia biashara yako unapata milion 200 kwa mwaka as maximum profiti akaja mtu umubinafisishie akulipe 1bilion kila mwaka, utakataa kweli? Tunataka nin?
Wenye maslahi bandari Kwa sasa na chadema wanatoa Hoja nyingi za kukataa uwepo wa dp Kwa kulinda maslahi ya kwao kikazi na kichama. Mm ninachojua hakuna mkataba usiovunjika hata kama haijaandikwa namna ya kuuvunja mkataba huo.
 
Yamesikika ya wasomi (nguli kwa mapoyoyo), chawa, wajinga na hata werevu:

View attachment 2675885

Kwani kuna haja ya kuliacha suala hili kuendelea mno?

"Labda kwa kusubiria dodo kwenye mnazi."

Ushauri wa bure tunaelekea kubaya.
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ni Kama yamesimama.

Kuna wito wako huku kukumbusha "aluta continua:"

F0ArLCXWIAA7pWk.jpeg
 
Acha ujinga hakuna nchi inaendelea bila uwekezaji.
Magufuli alinunua ndege jwa hela za serikali tukamnanga na kushauri angeruhusu sekta binafsi.
Leo Ndege zipo ila zinaendeshwa kwa hasara tangu Magufuli mwenyewe akiwepo.

Bamdari kumkaribisha mtu mwenye mitambo,technology na mtaji mkubwa ndio suruhisho.

Kupinga jambo usilolijua na kutojitendea haki
 
Kwani wewe ni Musiba?

Sakata la DP World kina Musiba waanza kuibuka

Au labda ni nduguye?
 
Kwa uelewa wangu hatimaye tozo kwenye miamala ya simu zimefutwa.
Tangu lini? Wafute bila kusema wanavyopenda sifa? au ndio mchezo wa kututoa kwenye mkataba wa hovyo wa bandari..
 
Huyu wakili Mwabukusi nimekuwa nikimsikiliza tangu hili sakata la mkataba wa hovyo lilipoanza, ndupo nilipogundua hili taifa lina hazina ya kutosha ya wasomi, na wazalendo wenye nia ya dhati kulitumikia.

Bahati mbaya tupo kwenye mfumo wa hovyo, usiotaka kuwapa wengine nafasi waoneshe uwezo wao, badala yake unakomaa na wale wale waliotufelisha tulipotoka, na kuendelea kutufelisha mpaka sasa kwa sababu ndio wanashika hatamu.

Leo tunalia na mkataba wa hovyo wa bandari, mkataba uliokuja kutugeuza watumwa ndani ya nchi yetu, ni kielelezo tosha cha hayo niliyoandika hapo juu.
 
Tangu lini? Wafute bila kusema wanavyopenda sifa? au ndio mchezo wa kututoa kwenye mkataba wa hovyo wa bandari..

Nakubaliana nawe kuwaamini majahili hawa ni heri kumwamini fisi kulinda bucha.
 
Back
Top Bottom