Yamesikika ya wasomi (nguli kwa mapoyoyo), chawa, wajinga na hata werevu:
View attachment 2675885
Kwani kuna haja ya kuliacha suala hili kuendelea mno?
"Labda kwa kusubiria dodo kwenye mnazi."
Ushauri wa bure tunaelekea kubaya.
Wenye maslahi bandari Kwa sasa na chadema wanatoa Hoja nyingi za kukataa uwepo wa dp Kwa kulinda maslahi ya kwao kikazi na kichama. Mm ninachojua hakuna mkataba usiovunjika hata kama haijaandikwa namna ya kuuvunja mkataba huo.Ndugu inabidi tutambue kua:-
1. Wapo wanaopinga mkataba huu kwa sababu madili yao na wizi wao hapo bandarini utakomeshwa na hivyo hawatapata nafasi ya kutuibia tena.
2. Wapo wanaopinga kwa sababu hawana imani na matakwa ya mkataba huo ambao ni wachache sana.
Japo si mtaalam wa uchumi wala sheria lakini najiuliza, kama bandari itaingiza faida kubwa kwenye pato la taifa chini ya huo mkataba wa DPW kuliko ilivyo chini ya serikali, sambamba na kuondoa usumbufu mwingi ikiwemo mizigo kuchelewa kutoka, tatizo ni nini hata kama uwe wa milele?
Mfano wewe ukisimamia biashara yako unapata milion 200 kwa mwaka as maximum profiti akaja mtu umubinafisishie akulipe 1bilion kila mwaka, utakataa kweli? Tunataka nin?
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??Yamesikika ya wasomi (nguli kwa mapoyoyo), chawa, wajinga na hata werevu:
View attachment 2675885
Kwani kuna haja ya kuliacha suala hili kuendelea mno?
"Labda kwa kusubiria dodo kwenye mnazi."
Ushauri wa bure tunaelekea kubaya.
Mambo ni Kama yamesimama.
Acha ujinga hakuna nchi inaendelea bila uwekezaji.
Magufuli alinunua ndege jwa hela za serikali tukamnanga na kushauri angeruhusu sekta binafsi.
Leo Ndege zipo ila zinaendeshwa kwa hasara tangu Magufuli mwenyewe akiwepo.
Bamdari kumkaribisha mtu mwenye mitambo,technology na mtaji mkubwa ndio suruhisho.
Kupinga jambo usilolijua na kutojitendea haki
Wenye maslahi bandari Kwa sasa na chadema wanatoa Hoja nyingi za kukataa uwepo wa dp Kwa kulinda maslahi ya kwao kikazi na kichama. Mm ninachojua hakuna mkataba usiovunjika hata kama haijaandikwa namna ya kuuvunja mkataba huo.
Tangu lini? Wafute bila kusema wanavyopenda sifa? au ndio mchezo wa kututoa kwenye mkataba wa hovyo wa bandari..Kwa uelewa wangu hatimaye tozo kwenye miamala ya simu zimefutwa.
Tangu lini? Wafute bila kusema wanavyopenda sifa? au ndio mchezo wa kututoa kwenye mkataba wa hovyo wa bandari..