Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Ndugu Samia, Nchimbi na ndugu Mwigulu hawana uhalali wowote wa kuweka mtu lock down kuelekea #D9, sisi hatupo chini ya mtu yoyote.
Sisi hatuna serikali kwa mujibu wa katiba, serikali lazima itokane na wananchi hakuna uhalali wa serikali ya kujiteua.
Sisi hatuna serikali kwa mujibu wa katiba, serikali lazima itokane na wananchi hakuna uhalali wa serikali ya kujiteua.